jana msiba wa taifa leo mauno takatifu, Je piere liKuid atabaki kuwa kileleni??

jana msiba wa taifa leo mauno takatifu, Je piere liKuid atabaki kuwa kileleni??

shadownet

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
133
Reaction score
677
Ndani ya muda mfupi kumekuwa na mchanganyiko wa matukio kadha na kadha, mara mc pili pili kawekwa ndani, hatujakaa sawa tupo kwenye simazi la kumpoteza tajiri na hii leo kumekua na kimbunga huko mitandanoni kwa video ya mauno yanayoaminika ni ya kichungaji...

JE KWA HALI HII MLEVI WA TAIFA ATABAKI KUWA JUU KILELENI???
 
Aaaaaaaasa iwekee aiwekeiwekee....., aiwekee..... ipitishe kwa chiniii....[emoji6]
 
Back
Top Bottom