Jana nikabahatika kumwaga

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za mida hii wakuu, poleni sana na msiba, R.i.p Benjamin William Mkapa πŸ™πŸ˜”

Jana bwana nilikuwa mitaa ya home hapa nimeskilizia kibaa fulani hivi nakunywa moja moto moja baridiii πŸ€— muda fulani haja ikanibana na unajua mlevi na chooni ni kama pete na kidole.

Nimenyanyuka nayumba zangu huyo naelekea chooni ila kabla sijafika kuna mezani mbele yangu za wateja wengine nami nilikuwa tungi kinoma, nikayumba huko na huko ghafla nikajikuta nimeegemea meza moja na kuipindua miguu juu na vinywaji nikamwanga, nashukuru wale wateja walikuwa waelewa, nililipa na kuendelea na starehe zangu πŸ€ͺ🀦

KILA mtu ana akili zake lakini tumetofautiana katika matumizi ya kuitumia
 
Jana umetumia pesa mkuu Leo huna kitu unasumbua wanajamvi

Tuwe makini na mada zetu zinatukosesha misaada nilianza kukuonea huruma kumbeeee

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…