Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Habari za mida hii wakuu, poleni sana na msiba, R.i.p Benjamin William Mkapa 🙏😔
Jana bwana nilikuwa mitaa ya home hapa nimeskilizia kibaa fulani hivi nakunywa moja moto moja baridiii 🤗 muda fulani haja ikanibana na unajua mlevi na chooni ni kama pete na kidole.
Nimenyanyuka nayumba zangu huyo naelekea chooni ila kabla sijafika kuna mezani mbele yangu za wateja wengine nami nilikuwa tungi kinoma, nikayumba huko na huko ghafla nikajikuta nimeegemea meza moja na kuipindua miguu juu na vinywaji nikamwanga, nashukuru wale wateja walikuwa waelewa, nililipa na kuendelea na starehe zangu 🤪🤦
KILA mtu ana akili zake lakini tumetofautiana katika matumizi ya kuitumia