Jana nilikunywa pombe then nikanunua mayai ya kuchemsha nikala, saivi najamba mashuzi yananuka hatari

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Wakuu, poleni na masuala ya hii nchi isiyokua na kiongozi.

Jana kwenye mishe zangu, nikaingia Baa flani nikapiga valuer zangu mbili then akapita muuza mayai ya kuchemsha nikanunua mawili nikala.

Sasa ngoma leo imejibu,asee najamba mashuzi yananuka harufu sio ya nchi hii.

Naomba ushauri nifanyaje, maana nakosa raha.
 
hahhahaha dah
 
Kunywa maziwa ya mgando nusu lita na maharage bakuli moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…