Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeangalia kama mafundi hawakupita na exhaust ya gari(bomba la kutolea moshi)?Wakuu, poleni na masuala ya hii nchi isiyokua na kiongozi.
Jana kwenye mishe zangu, nikaingia Baa flani nikapiga valuer zangu mbili then akapita muuza mayai ya kuchemsha nikanunua mawili nikala.
Sasa ngoma leo imejibu,asee najamba mashuzi yananuka harufu sio ya nchi hii.
Naomba ushauri nifanyaje, maana nakosa raha.