T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Hayo mabomu ni ya vita?Ma uncle na maboss, tunaangalia kwa Tv no vurugu. Sasa Vita hamna hayo mabomu yataharibika ndo mana wana test kwa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mabomu ni ya vita?Ma uncle na maboss, tunaangalia kwa Tv no vurugu. Sasa Vita hamna hayo mabomu yataharibika ndo mana wana test kwa watu.
Kuna namna nyingine nzuri zaidi ya hiyo?habari za ushindi wa Tanzania dhidi ya Uganda sijazifurahia maana jana nimetoka huku bagamoyo hadi temeke ili nishangilie taifa stars lakini nikaambulia kulizwa na mabomu na kupigwa na maji yanayowasha bila sababu yoyote........
KWA KWELI INAUMA SANA KUUMIZWA VILE WAKATI MIMI NILIKUWA NATAFUTA JINSI YA KUONDOKA BAADA YA KUAMBIWA TIKETI ZIMEISHA, LAKINI KABLA SIJAFIKA MBALI NIKAKUTANA NA HIYO KADHIA.
Nawashauri POLICEwaangalie namna nzuri ya kudhibiti watu lakini siyo kunionea vile. Nimetoka mbali bagamoyo nakuja kupigwa na mabomu ya machozi.
Na walivunja getiSIAMINI KAMA POLISI NI VICHAA, WAAMUE TU KUPIGA MABOMU BILA SABABU. MKUSANYIKO WOWOTE WENYE LENGO MOJA NI RAHISI KUBADILI LENGO NA KUWA UHALIFU, INAPASWA KUDHOBITIWA MAPEMA KABLA HALIJA OPT NIA OVU IKAWA SHIDA ZAIDI. WATU MMEAMBIWA TIKETI ZIMEISHA ILA MMENG'ANG'ANIA GETINI, BAADAE MVUNJE GETI KAMA MWAKA ULE (NIMEUSAHAU) GARAMA ZIRUDI KWETU SISI TULIOKATA TIKETI MAPEMA KWA RAHA ZETU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaloge mlingotinihabari za ushindi wa Tanzania dhidi ya Uganda sijazifurahia maana jana nimetoka huku bagamoyo hadi temeke ili nishangilie taifa stars lakini nikaambulia kulizwa na mabomu na kupigwa na maji yanayowasha bila sababu yoyote........