Jana nilimwagiwa maji ya kuwasha na kulipuliwa mabomu ya machozi

Kuna namna nyingine nzuri zaidi ya hiyo?

Kwani uliumia?

Vibomu vyenyewe vinawasha dakika tano tu unakuja kujiliza hapa yaani Chadema kila kitu vilio
 
SIAMINI KAMA POLISI NI VICHAA, WAAMUE TU KUPIGA MABOMU BILA SABABU. MKUSANYIKO WOWOTE WENYE LENGO MOJA NI RAHISI KUBADILI LENGO NA KUWA UHALIFU, INAPASWA KUDHOBITIWA MAPEMA KABLA HALIJA OPT NIA OVU IKAWA SHIDA ZAIDI. WATU MMEAMBIWA TIKETI ZIMEISHA ILA MMENG'ANG'ANIA GETINI, BAADAE MVUNJE GETI KAMA MWAKA ULE (NIMEUSAHAU) GARAMA ZIRUDI KWETU SISI TULIOKATA TIKETI MAPEMA KWA RAHA ZETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na walivunja geti
 
Kawaloge mlingotini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…