Jana nilishuhudia mchana kweupe tajiri akioga round about

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Wanajamii
kweli nimeamini dunia imevaa gunia!
jana mida ya mchana kweupe mishale ya saa6 nakatiza round about ya arusha-dar iliyopo mjini kati mo town.
basi bana mi sina hili wala lile hata sifkirii kwamba siku ya leo nitaona tukio la kufunga mwaka!
nikiwa na carina TI mbele kulikuwa na range rover vogue sport imetuna balaa hadi unaogopa hata kuisogelea nyuma zaidi nisije kuikwarua.
kufika ile round about yenye mjeshi juu mitaa ya YMCA jamaa aliekuwa kwenye vogue akatoa mkono dirishani kuni alert kwamba nisimame.nikiwa sijui hili wala lile ghafla nikaona mlango wa vogue upande wa dereva unafunguliwa nikashtuka kufumba na kufumbua akashuka kibosile ana bonge la mtambi akiwa uchiiii wa nyama!
akakimbia hadi pale katikati kabisa akiwa ameshika vijagi vya mbege(chibuku)kwa speed ya mwanga akajimwagia maji yaliokuwa mekundu kama damu kisha kama hana akili nzuri akambilia kwenye gari lake akasepa!
haikuchukua hata dakika na hakujali macho ya watu wote waliokuwemo eneo la tukio!
kweli nilishutuka nikashindwa hata kupiga picha maana ningechelewa kuona uhondo wa dunia.
Daahh kweli waganga wanatuabisha sana sipati picha bahati mbaya mtoto wake angekuwa eneo lile akaona picha nzima!
 
Hizo zipo sana,hata huku kwetu kuna tajiri aliletwa stand ya mabasi mida ya jioni, dereva tax akashuka kwanza, akafungua buti akatoa beseni kisha akamiminia maji yenye dawa yaliyokuwa kwenye galoni, halafu akafungua mlango wa abiria wa tax yake, ikatoka njemba uchi wa mnyama ikaenda ikaoga fasta nakurudi ndani ya gari na kufunga mlango, dereva akachukua lile beseni na galoni akaviweka kwenye buti wakasepa.
 
tuwekee hata picha za kuchora basi
Kwani uchi wa mnyama huujui ulivyo!ukiona picha umaweza kushindwa kula mchana!maana yule alikuwa ni dudu lilikuwa na manyonyo namlikitambi kama pipa la taka vile
 
Sasa tunaamini vip story yako? Halafu umeiweka jukwaa la utani makusudi au mods wamekusaidia?
 
Haya mambo yapo sana, mitaa ya kkoo hasa makutano ya barabara tym za jioni huwa yanatokea sana hayo, ni kitu ambacho mtu hukutarajia na kinatoke kwa sekunde kadhaa, mpaka utoe patterns kwny cm yako utafute camera ilipo tukio lilishaisha.
Huo ushahidi wa picha mnaoutaka msubiri siku mkikutana nao
 
Halafu anaonekana ana hela maana anasukuma vogi spoti.lakini bado anataka ziongezeke maana km zinamtosha asingeeda kujiaaibisha
 
Back
Top Bottom