Jana nilivamiwa nikaogopa sana, nilidhani natekwa

Jana nilivamiwa nikaogopa sana, nilidhani natekwa

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Makutano ya lumumba na mkunguni, nikiwa naendesha pikipiki ghafla katikati ya bara bara nikavamiwa na bajaji mbili, moja mbele moja nyuma

Wakashuka watu wanne na kuchukua funguoza pikipiki huku wakinihoji kwanini sijavaa helmet,

Nilivyosikia hivyo tu moyo ukapoaaaaa nikajua niko salama, nikawapa 5000 nikaondoka, hawa jamaa ndio biashara yao pale lumumba na mkunguni wanajitafutia riziki, kuweni makini
 
Back
Top Bottom