pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Ila sijapewa risitiKama ungekuwa huna makosa usingetoa hiyo 5000!,so tuliza hilo bapa!.
Wewe zombie kweli!Ila sijapewa risiti
Au ndio nyie?
Haya sawaWewe zombie kweli!
Ila sijapewa risiti
Hapana, nawashtua wahusika kwamba pale kuna linaloendeleaSasa unaomba risiti JF π
Nyie ndo mnahamasisha upigaji
Tahadhari muhimu, huwezi kujua nani mtekaji na nani ni naniyour fear is your own burden
Na kweli, ila pale wanapigwa wengi, na ukizubaa wanakuteka na kwenda kukupekulia mbele hukoUshapigwa
Pangechimbikawangekuteka tu
Pole sana mkuuNa kweli, ila pale wanapigwa wengi, na ukizubaa wanakuteka na kwenda kukupekulia mbele huko
Pamoja sanaPole sana mkuu
Asante sana, yaani niliogopa sanaPole sana mkuu, inaonekana bado mgeni kwenye mishe za bodaboda hapo town maana wale jamaa huwa wanaangalia sura za kuzikamata ππ