Jana niliwashwa sana na majani pori

Jana niliwashwa sana na majani pori

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
28,701
Reaction score
71,056
Habari za leo wakuu,

Jana nilikuwa nasafiri kutoka dodoma kuja dar, nilikuwa nimepata lifti kwa rafiki yangu na tulikuwa wawili tu, njiani tumbo likaanza kunisokota, nilijitahidi kuvumilia lakini ilifika mahali ikabidi nimuombe asimamishe gari ili nijisaidie

mimi sikuwa na maji wala toilet paper, na sikupenda kuomba kwa rafiki yangu hivyo nilitelemka tu nikitegemea kutumia majani ya laini, baada ya kuharisha nikajipangusa kwa majani ya laini

Ile kukaa tu kwenye gari nikahisi kama uwasho fulani nikajua huenda sikujipangusa vizuri tukifika morogoro nitamuomba jamaa yangu nikajisaidie tena

Wacha nianze kuwashwa, nikajitahidi kuvumilia aah wapi mbona nilishindwa kuvumilia ikabidi nimuombe jamaa yangu maji yake ya kunywa ili nikajitawaze kwa maji na sabuni kule kule porini tena

Baada ya kujitawaza ndiyo uwasho ukaisha, sikumbuki jina la yale majani ila ni ya laini sana kama toilet tissue

Nawashauri Ndugu zangu ikiwa ni lazima ujisaidie porini basi epuka majani ya porini
 
Nilikuwa Cairo Airpot transit, hakuna siku niligundua thamani ya choo kama siku ile. Nimefika chooni wa mama wa kiarabu wasafishaji mmoja aliniomba tip. Akili yangu yote ilikuwa kutumia choo, sikumpa chochote. Kwa kunikomoa alinionyesha choo alichomaliza kukisafisha na ajua fika hakina toilet paper

Uzuri sisi wamama hatukosi tissue kwenye handbag, hicho ndichow kilinisaidia
 
Pole sana...

Uwe unafikiria kabla ya kutenda...

Ungeomba maji mapema uende nayo...


Cc: mahondaw
 
Teh teh.....ungemuomba rafiki yako akukune mkuu....
 
Back
Top Bottom