How old are you? You don't seem to regret? Hayo no matendo ya kusikitika Sana, well you are going to be a useless father and husband unless you real look out for a spiritual advice and commitment
You will surely not have a happy future! Kila mara unapolala na mwanamke you exchange inner spiritual identities, hata kwenye Bible somehow speak about it.
Wewe umepoteza asili yako kabisa, Yani ni mtu tofauti kabisa na ulivyozaliwa, maana if you talk about 90 plus women, imagine una residual ya mabaki ya roho chafu 90, ambazo nazo Zina same problem ya wengine 90?
You should be regretting and never tell these kind of stories, or if you share iwe katika moody ya Kujuta Sana na kumshauri watu waache, I am in mid 40 s na nina kumbukumbu ya Wadada kulala nao wasiozidi 6 pamoja na mke wangu included.