Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Wachaa kumtisha mwenzako banaa, unamjua Mfalme Suleiman wew??[emoji23][emoji23],, Yule bwana alikuwa na mademu700 achana na mtoa post ambay kasema 90 tu hamfikii hata robo huyu bwana Suleiman huyu bwana huyu na bado nje ya hao700 akawa na twingine tudem twa nje kama mia3 hivi, na bado akazidishiwa Mahekima kama yote, sasa mtoa post ni nani mpaka ahukumiwe kiasi cha kutisha??[emoji23][emoji23].Q
Dhambi itasamehewa. Ila it will always leave a scar, and the scar will stay forever.
Huwezi kuwa Sawa n mtu ambay hajawahi fanya huo ujinga
Walokole acheni kuzusha hofu kwa upumbavu wenu
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app