Jana nimedundwa kisa mke wa mtu

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wakuu hapa niko hospital

Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa.

Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa, aroo wamenipiga hatari, daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.

Pombe sio kabisa.
 
Usisingizie pombe hapo, ni ashki/nyege zako zimekuponza tu😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu akuhurumie
 
Hawajakubiriga mkuu?
 
Ulikuwa umeweka marinda yako rehani siku nyingine uwe makini🐒
 
Pole sana, siku nyingine usitukane hovyo wanaokuzidi nguvu[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Uzuri lilianza onyo kabla ya wewe kufanyiwa vitendo vilivyokupotezea fahamu. Usidharau onyo.
 
Huyo njemba fala sana.Mkeo atakuwaje Bar maid?.Wamekuonea Mkuu.Pona kwanza tutafutane tuka revenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…