Aisee abdalah kichwa panzi akisimama akili inapotea
Jana usiku saa sita kasoro nilikuwa nacheki series moja sebuleni wife akiwa amelala chumbani. Saa sita kamili nikawa naview status za whatsap kuna binti mmoja wa chuo nimemfukuzia kitambo sana akawa anachomoa(kiukweli huyu binti ni mzuri kiwango cha uzuri wa kutosha kwa vigezo vyote). Alishanikataa kitambo so tulibaki kuview status tu amna mtu ana time na mwenzie. Nikaona kapost birthday yake imefika nika-reply pale kwa kumu-wish.
Tukajikuta tunaanza kuchart. Tumeachart we mpaka tukajikuta tunahamia kuchart mambo ya sex. Tukaingia kutumiana emoj hizi za sex tukiendelea kuchart mambo ya mapenzi kwa undani sana. Demu akaanza kulalamika namtesa na bwanake yuko mbali. Nikamtania tu " zikizidi usijali naweza kuzitoa". Tumechart mpaka tukafika sehemu akasema amezidiwa hawezi kulala vile atateseka
Nikamuuliza nije kukufata akakubali. Nilidhani utani nikauliza mara ya pili akajibu " naingia kuoga njoo unichukue" Kwangu ni mbali kidogo(nje ya mji). Nikapiga akili kutoka na gari wife atasikia inawashwa na me sina sababu yoyote ya kumwambia natoka. Nikatoka kimya kimya nikaita boda nayemtumia mtaani speed kwenda Sinza . Nikampigia ubber nayemjua nikampa maelekezo tukutane Mwenge. Hao moja kwa moja tukafika hostel ya Magu nikakuta mtoto yuko tayari nikamchukua nikampeleka chimbo. Nikapiga game bao zangu mbili. Saa 9 yuko bafuni anaoga akili ndio ikarudi sasa nikakumbuka wife itakuwaje. Kucheki simu wife hajaingia online nikajua huyu hajaamka. Fasta nikarequest ubber nikamwambia yule binti nashuka chini kdg narud(nikaona bora nikosane na huyu demu na sio wife) Nikasepa home
Nimefika nakuta TV inaongea nikajua hajaamka nikanyata na kuzama ndani kimya. Nikaingia toilet public mlango ukapiga kelele wife ndio anaamka kuja kucheki niko toilet" wewe leo hulali?" Nikajibu tu " series ya leo ilikuwa [emoji91][emoji91]" akaondoka.
Nilichoshangaa wife akiniacha sebuleni saa tano au sita lazima ashtuke aje kuniomba nikalale but jana sijui imekuwaje akalala bila kushtuka! Angeshtuka sijui ningejielezaje? Hakuna mechi nimewahi kwenda kuangalia saa tisa usiku/ mimi sinywi so sina kampani kusema nitatoka usiku. Yaani sina sababu yoyote ile ya kutoka usiku! Sijui ningejuelezaje!? Nahisi sahizi angekuwa ashabeba mabegi amefika kwao.
Abdalah kichwa hafai! Akiamka akili zote hupotea