Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Gari yangu juzi nligongwa na boda shavu la mbele mkono wa kushoto baada ya mlango wa abiria mbele, nikapeleka jana garage ili wanirekebishie, sasa mm huwa siwaamini kabisa mafundi so huwa sitoki mpaka gari yangu iishe kurekebishwa.
Jamaa kaja na hariel mpya mbichi namba E nahisi aliingia sehem ya mwamba akatoboa tank ama kitu gani huko chini.
Kaja akawaelekeza mafundi akaondoka jamaa wamehangaika huchoma huko uvunguni mda kama nusu saa hivi mi nikaenda kuchoma chipsi jirani. Ile narudi nakuta jamaa ndo wanaziba kile kipande chenye sega jamaa hata hajarudi. Nimekaa nawaangalia wale jamaa jikaichukia ile gereji mazima
Mwanza makufuli unapoingia tu ukitokea shinyanga road mwanzoni pale kuna vijana opp na ghorofa linalijengwaTupe location ya garage tusikanyage[emoji626]
Huwa wapo roadside hawana garage inayoeleweka kuna walio na mitungi ya ges miwili, hao jamaa sio watu wazuri kabisaMwanza nata kuna vijana opp na ghorofa linalijengwa
We mwanamke mbeya sana, taja jjna la gereji na mahala ilipo.Gari yangu juzi nligongwa na boda shavu la mbele mkono wa kushoto baada ya mlango wa abiria mbele, nikapeleka jana garage ili wanirekebishie, sasa mm huwa siwaamini kabisa mafundi so huwa sitoki mpaka gari yangu iishe kurekebishwa.
Jamaa kaja na hariel mpya mbichi namba E nahisi aliingia sehem ya mwamba akatoboa tank ama kitu gani huko chini.
Kaja akawaelekeza mafundi akaondoka jamaa wamehangaika huchoma huko uvunguni mda kama nusu saa hivi mi nikaenda kuchoma chipsi jirani. Ile narudi nakuta jamaa ndo wanaziba kile kipande chenye sega jamaa hata hajarudi. Nimekaa nawaangalia wale jamaa jikaichukia ile gereji mazima
Nafikiri siku nitqkayo wakuta wana fanya huo ufezuli ktk ndinga yangu ndio siku iyo itakuwa mwanzo wa kipelekwa mahakaman mie ..maana sizan kama nita acha mtu salama bila Kipigo cha Mbwa kokoGari yangu juzi nligongwa na boda shavu la mbele mkono wa kushoto baada ya mlango wa abiria mbele, nikapeleka jana garage ili wanirekebishie, sasa mm huwa siwaamini kabisa mafundi so huwa sitoki mpaka gari yangu iishe kurekebishwa.
Jamaa kaja na hariel mpya mbichi namba E nahisi aliingia sehem ya mwamba akatoboa tank ama kitu gani huko chini.
Kaja akawaelekeza mafundi akaondoka jamaa wamehangaika huchoma huko uvunguni mda kama nusu saa hivi mi nikaenda kuchoma chipsi jirani. Ile narudi nakuta jamaa ndo wanaziba kile kipande chenye sega jamaa hata hajarudi. Nimekaa nawaangalia wale jamaa jikaichukia ile gereji mazima
Angemsubiri jamaa amwambie pia ingekuwa kihelehele,Umeshindwa nini kuwaambia na hata kumsubiri jamaa umwambie unkuja kutuambia humu huo umbea.
Watazolewa kama mizoga maana ukiacha gari garage sasahivi kuja kuchukua chakwanza unaangalia makinikia, na siku hizi ukidakwa unakula kichapo sawa sawa utaje network yako , ukimaliza unalipa hela yakureplace na bado polisi ili utoke lazima ufunguke.Gari yangu juzi nligongwa na boda shavu la mbele mkono wa kushoto baada ya mlango wa abiria mbele, nikapeleka jana garage ili wanirekebishie, sasa mm huwa siwaamini kabisa mafundi so huwa sitoki mpaka gari yangu iishe kurekebishwa.