Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Gari yangu juzi nligongwa na boda shavu la mbele mkono wa kushoto baada ya mlango wa abiria mbele, nikapeleka jana garage ili wanirekebishie, sasa mm huwa siwaamini kabisa mafundi so huwa sitoki mpaka gari yangu iishe kurekebishwa.
Jamaa kaja na hariel mpya mbichi namba E nahisi aliingia sehem ya mwamba akatoboa tank ama kitu gani huko chini.
Kaja akawaelekeza mafundi akaondoka jamaa wamehangaika huchoma huko uvunguni mda kama nusu saa hivi mi nikaenda kuchoma chipsi jirani. Ile narudi nakuta jamaa ndo wanaziba kile kipande chenye sega jamaa hata hajarudi. Nimekaa nawaangalia wale jamaa jikaichukia ile gereji mazima