Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Mungu asaidie nchi hizi timu mbili zitolewe ila kelele ma radioni na vijueni zieshe ili watu wapate kufanya kazi, unakuta ofisi nzima wanajadili mpira wateja wako nje wanawasubilia.
Mkuu ziba masikio na ufumbe macho
 
aisee una ndoto kali yani umeota nyumbani ikapita wiki nzima ukaota dk90 za South Africa we ni mnyama salute
 
Unatakiwa upigwe viboko vingi shingoni kukuasa kuota ujingaujinga.
 
Haya ndy madhara ya kuota ndoto upo chooni ,,
Unashauriwa ukiota ndoto upo chooni usikitumie ,,
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahaaaaa kumbe unaota🤣🤣🤣 Amka wewe utajikojolea
 
Mungu asaidie nchi hizi timu mbili zitolewe ila kelele ma radioni na vijueni zieshe ili watu wapate kufanya kazi, unakuta ofisi nzima wanajadili mpira wateja wako nje wanawasubilia.
Yaani mkuu haya mambo ya mpira kwa wasiojielewa ni kama ugonjwa au wendawazimu kuna watu hawajali muda wa kazi au vitu muhimu wenyewe ni kubishania mpira tu
 
Mkuu hii kauli yako mwanzoni nilikuwa naipuuza,Ila juzi baada ya kuona jamaa tunafanya nae kazi kapewa task na mkuu wa kitengo aikamilishe akasema sawa,akatoka nje kakutana na mafundi wanarekebisha majengo ya kazi wakaanza kubishana mpira,
Wakati huo huo ndiyo tulikuwa tunasubiri kazi yake aikamilishe ili na sisi tuipitie tukamilishe kazi itumwe mahala husika,boss katoka nje kamkuta jamaa anabishana mambo ya mpira simba yanga ahly mamelodi, ni mambo ya kipuuzi sana viongozi kama hawajui kuna watu wanalipwa mishahara ila kazi ni kubishana mpira tu
 
Mungu asaidie nchi hizi timu mbili zitolewe ila kelele ma radioni na vijueni zieshe ili watu wapate kufanya kazi, unakuta ofisi nzima wanajadili mpira wateja wako nje wanawasubilia.
Nyinyi ndio hua mnajificha uvunguni baada ya matokeo alafu wachawi sio lazima wabebe matunguli maneno tu yanaweza yakathibitisha kwamba wewe ni mchawi
 
Yaani mkuu haya mambo ya mpira kwa wasiojielewa ni kama ugonjwa au wendawazimu kuna watu hawajali muda wa kazi au vitu muhimu wenyewe ni kubishania mpira tu
Mpira ndio burudani yao unataka wabishanie nini burudani zako za Riverside?
 
Mpira ni burudani wewe km hupendi mpira hamia kwenye lede na mstarikati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…