Jana nimeota navuta sigara

Salaam wanang wa Jamiiforums

Oya wadau jana nimeota navuta sigara, wataalam wa ndoto, hiyo ndot inamaana gani?

Sigara ni moto
Sigara ni sumu
Moshi wa sigara ni kitu chepesi na hupenya popote

Tafsiri
Kuna jambo umelifanya/ unatarajia kulifanya lakini halitakupa matokeo mema hata kama unalipenda
 
Me Uwa naota naoga uku natembea.ata siwazi
 
Kuna Ndoto siipendi yan huwa naota ndug yangu IGP Zeroo sio Mara moja yan Dadek inanikela Kwel na Jana t nimeota tena alaf nikiota yan nakua namsikiliza kila analosema ina maana gn hii Ndoto na kwanin kweny Ndoto hii nakuwa fala vile wakt ndoton m nakuaga mtu atar sana
 
Unaitamani fegi mpaka unaiota, Anza tu kuvuta
 
MIE kuna siku niliota kuna MDADA kapata mimba na katoa
Kumbe katoa kweli hivyo sio kila jambo unalolifanya KWA siri ni siri kweli
Mwenzenu siri za watu kibao naziota na pengine nikiamua kumwambia mhusika anasema ni kweli
 
Sigara ni moto
Sigara ni sumu
Moshi wa sigara ni kitu chepesi na hupenya popote

Tafsiri
Kuna jambo umelifanya/ unatarajia kulifanya lakini halitakupa matokeo mema hata kama unalipenda
Dream interpretation ni sayansi au "kanyaga twende"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…