Jana nimeshinda biko 20m sijui nianze na nini?

Jana nimeshinda biko 20m sijui nianze na nini?

Tukutane bar baadae nikuoneshe namna yakufanya
 
Wale wa forex, crypocurrencies na Qnet, kuna kichwa kipya kimejitumbukiza chenyewe [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaha unamshauri azipeleke kwa wapiga dili wa kidigital eti unadownload hela [emoji2] [emoji2] [emoji2] umeona wapi kuna hela ya kizembezembe
 
Hahaha unamshauri azipeleke kwa wapiga dili wa kidigital eti unadownload hela [emoji2] [emoji2] [emoji2] umeona wapi kuna hela ya kizembezembe
Ha ha ha kwani umesahau ule msemo wa Wajinga ndo waliwao?
Yaani kweli kabisa mtu anapata 20m afu anakuja kuuliza JF afanye nayo nini?
Kama hajui cha kufanya azipeleke Q Net [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom