Jana nimeshuhudia gari ikifa

Jana nimeshuhudia gari ikifa

Hii mbona kama ni Isuzu Journey au sijala mchicha na karoti vizuri.
Kuna vitu hubadilika badilika maumbo
FB_IMG_1732339713479.jpg
FB_IMG_1732339709281.jpg
 
Ilikuwa ni Nissan Civilian number C inayopiga ruti za Mbezi Mlandizi... Jana asubuhi mitaa ya Kibada ndio ilihitimisha safari yake hapa duniani kwa ajali ya moto.. Ilikufa kwa maumivu na upweke mkubwa bila msaada wowote
Wananchi walikuwepo.. Askari waliwepo.. Lakini wote walikuwa wamesimama mbali bila msaada.. Kwao ilikuwa ni ajali ya gari kuungua moto kwangu kilikuwa kifo cha gari

Nimeshakutana na vifo vingi sana.. Nimeshashuhudia watu wengi wakifa.. Wengine nimewasaidia kufa kwa mikono yangu mwenyewe.. Kitu nilichogundua.. Kifo hakizoeleki

Kifo cha gari jana kilikuwa kimojawapo.. Nikawaza namna walivyoanza safari yao pale Mlandizi.. Pengine konda na dereva hawakujua mwenzao anaumwa.. Wakamlazimisha hivyo hivyo
Kuna magari mengine yana roho mbaya sana, yakiumwa kisha yalazimishwe kufanya kazi huamua kujilipua na kufa na abiria.. Lilie la jana ni mbinguni moja kwa moja .. Liliamua kufa peke yake
Tajiri alitarajia kupokea kibunda cha wiki ama cha siku.. Hakupokea
Dereva naye alikuwa na matarajio yake na mipango yake kwa siku ya jana.. Yote iliyeyuka
Hivi konda anaweza kuwa mwaminifu akapeleka pess yote aliyokuwa keshakusanya? Ama atasingizia upotevu wakati wa taharuki?
Kuna abiria nauli yao ilikuwa ya kuungaunga.. Hao walikuwa na siku mbaya
Kuna ambao bado walikuwa hawajarudishiwa chenchi.. Hawa ilikula kkwao
Kuna ambao walikuwa hawajalipa nauli.. Hawa zali liliwaangukia.. Kufa kufaana

Pale ilipofia
Barabara pia iliumia
Kuna mimea iliungua
Kuna wadudu waliungua
Traffic walikosa bakshish na faini
Jiji limekosa mapato
Fundi gereji keshapoteza mteja

List ni ndefu.. Itoshe tu kusema kifo cha lile daladala kimeniuma sana maana kimeleta athari kwa wengi
Umewasaidia wengine kufa kwa mikono yako mwenyewe?

Angalia watoto wasije wakakuogopa mkuu!
 
Mshana Pole kwa kuumizwa na tukio la kifo cha gari,mbona lenyewe hukulipa msaada kwa mikono yako pia kama ambavyo umewahi kutoa msaada kwa baadhi,usisononeke sana hata kama chombo ilikuwa yako sema huenda wadau wakasaidia kupunguza maumivu kwa wote waliokutwa kwenye orodha hii ndefu.Pole pia kwa wote waliopoteza tangu vipata na ajira pia.
 
Mshana jana ilikuwa siku mbaya kwako,na kwangu pia.Kwangu hakuna aliyekufa,bali ni taarifa mbaya za kusikitisha kuhusu semina za uchaguzi zilizoendeshwa.Mtu wangu wa karibu alinieleza juu ya mambo waliyoelekezwa kufanya ili kusaidia chama chetu kushinda kwa vyovyote vile.Stress ilikuwa kubwa mpaka nikaishia kwenda kulewa tu.
 
Ilikuwa ni Nissan Civilian number C inayopiga ruti za Mbezi Mlandizi... Jana asubuhi mitaa ya Kibada ndio ilihitimisha safari yake hapa duniani kwa ajali ya moto.. Ilikufa kwa maumivu na upweke mkubwa bila msaada wowote
Wananchi walikuwepo.. Askari waliwepo.. Lakini wote walikuwa wamesimama mbali bila msaada.. Kwao ilikuwa ni ajali ya gari kuungua moto kwangu kilikuwa kifo cha gari

Nimeshakutana na vifo vingi sana.. Nimeshashuhudia watu wengi wakifa.. Wengine nimewasaidia kufa kwa mikono yangu mwenyewe.. Kitu nilichogundua.. Kifo hakizoeleki

Kifo cha gari jana kilikuwa kimojawapo.. Nikawaza namna walivyoanza safari yao pale Mlandizi.. Pengine konda na dereva hawakujua mwenzao anaumwa.. Wakamlazimisha hivyo hivyo
Kuna magari mengine yana roho mbaya sana, yakiumwa kisha yalazimishwe kufanya kazi huamua kujilipua na kufa na abiria.. Lilie la jana ni mbinguni moja kwa moja .. Liliamua kufa peke yake
Tajiri alitarajia kupokea kibunda cha wiki ama cha siku.. Hakupokea
Dereva naye alikuwa na matarajio yake na mipango yake kwa siku ya jana.. Yote iliyeyuka
Hivi konda anaweza kuwa mwaminifu akapeleka pess yote aliyokuwa keshakusanya? Ama atasingizia upotevu wakati wa taharuki?
Kuna abiria nauli yao ilikuwa ya kuungaunga.. Hao walikuwa na siku mbaya
Kuna ambao bado walikuwa hawajarudishiwa chenchi.. Hawa ilikula kkwao
Kuna ambao walikuwa hawajalipa nauli.. Hawa zali liliwaangukia.. Kufa kufaana

Pale ilipofia
Barabara pia iliumia
Kuna mimea iliungua
Kuna wadudu waliungua
Traffic walikosa bakshish na faini
Jiji limekosa mapato
Fundi gereji keshapoteza mteja

List ni ndefu.. Itoshe tu kusema kifo cha lile daladala kimeniuma sana maana kimeleta athari kwa wengi
bima kubwa ndo suluhisho
 
Mshana jana ilikuwa siku mbaya kwako,na kwangu pia.Kwangu hakuna aliyekufa,bali ni taarifa mbaya za kusikitisha kuhusu semina za uchaguzi zilizoendeshwa.Mtu wangu wa karibu alinieleza juu ya mambo waliyoelekezwa kufanya ili kusaidia chama chetu kushinda kwa vyovyote vile.Stress ilikuwa kubwa mpaka nikaishia kwenda kulewa tu.
Ona hizi pimbi . unategemea nini hapo๐Ÿคฌ๐Ÿคฌ๐Ÿคฌ
 
Back
Top Bottom