mrembo mwenyewe ndio huyu mkuu maghayo?
Inaonekana hauishi na watu vizuri ndio maana hauna koneksheni..πHebu wekeni picha zake katika angle nne kwanza alaf ndio tujadili maana naona nyuzi zinashuka tu kumhusu alaf sisi wa namtumbo hatumjui uyo
Penina alimkaribisha ngosha fundi ujenzi mjini...πBado namshangaa sana huyo mshamba aliyemuua huyo mwanamke, mbona madukani kuna replacement nyingi tu za hiyo spare?
Ndio huyu? Mbona kama odometer imesonga sana? Sorry, kumbe Marehemu hasemwi vibaya
Ana watoto wawili.Ndio huyu? Mbona kama odometer imesonga sana? Sorry, kumbe Marehemu hasemwi vibaya