Jana taifa limepoteza nafsi ya thamani sana

Penina wa Goba limama nginjanginja komasava, alivyokula hela ya msukuma hadi akageuzwa bucher...😜
Kila siku Mzee wa kupambania anatoa somo humu la kutompa pesa asiye mke wako nyie mnaona ubahil.
Sasa manzi kama hata hela ya saluni humpi hata ukimfuma ana gongwa wala haikuumi unaachana nae na kuendelea na habar zako na unakua umeepuka madhira kama haya kwenda jela 30yrs kisa punani ya muuza grocery
 
Mbona hana uzuri hu
Katika mboni za macho yangu, Hana uzuri huo wa kutingisha dar, sijui huko kwao serikali ya nyumba 10 ndio anaweza tingisha, ni pisi ya kawaida sana.
Kwenye ubovu hayupo lakini pia hana uzuri huo wa kuimbwa imbwa.

Alimuokota huyu ngosha mwenzangu, tulivyo wagonjwa kwa watoto weupe jamaa likadata.. 🀣
Ngosha angekuwa kaishagonga gonga mpaka kaarufu ka umalaya anako asingefamya ujinga huu uliomgharimu kwenda jela.
 
Msibaa upo kwao mitaa ya goba Kwa awazi mitaa ya oktilii na ndipo atakapopumzishwaa marehemu mlaji Hela za msukuma mjingaaa anayejichanganya Kwa single mama wa wtt wawilii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ilaa huyu Dem bhana akapumzike tu nilishapangaga naye nyumba Moja Kwa Mzee flan hv goba kipindi hcho anaishi na mume wake wa halali aliyezaa naye wtt wawili aiseee alikuwa anamburuza yule jamaaa mpk jamaa akakimbiaga akamwachia wtt na vtu ,ndio Dem kuanzaa kupikaa mpk na wapiga tofali πŸ˜…πŸ˜… baadae kbs huyu boya msukuma katoka huko na usukuma wake kasomba kama alivyo akijijua kapata kumbee kapataikanaa ...

R.i.p mpngaji mwenzangu miaka ya 2018 ukakitulize ss hyo k maana mmmmhh
 

Attachments

  • downloadfile-4.jpg
    89.6 KB · Views: 11
Tuache kupeana yote jaman haswaaa kwa wasukuma,,aseeee kuna lisukuma limoja liliniganda adi kuapa likiachana namimi linakua towashi au linaniua🀣🀣🀣🀣nimeliacha na halijawa towashi linalamba tu mademu wala bado nadunda tu.
 
Picha
 
Hii nchi ndio tuanze kulalamika Kenya wanatuzidi kwa kitu. Hata Rwanda tu nchi ndogo wanatupiga bao mambo mengi. Sisi tunawazidi kwa mambo ya ajabu ajabu tu. Ona akili hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…