chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano.
Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia iliyopitiliza) yakiruhusiwa, yanaitoa nchi kwenye mstari.
Ndio kinachotokea Kenya, wananchi wameshasahau kwamba nia yao ilikuwa kumuondoa Rutto, Rutto anazungusha make no, anamtoa kafara Gachagua.
Nathan kuna tatizo mahali, ni dhahiri wote wanatakiwa kuondoka. Mmoja alikataliwa na wananchi, mwingine anakataliwa na Bunge, basi wote waondoke.
Siasa ikidhibitiwa na dola, hata Rais anaambiwa muache Makamu amalize miaka mitano, hata kama humtaki.