Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kuna vitu tukiiiendeleza tutashia kuzikana kila siku, kuna hili jamboo linakera sanaa sanaa. Kuna asilimia 75% ya madereva wa pikipiki hawana leseni sisemi kuwatisha. Kama hamuamini waanze operesheni wakishirikiana na TAKUKURU na maofisa wa makao makuu muone.
Anzeni njia ya Mwenge Kawe, nendeni shule Mbezi beach, nendeni Goba na viunga vyake. Nendeni Kimara kuanzia Ubungo mpaka Baruti Korogwe Kimara mwisho aibu.
Mbaya zaidi sisemi kwa ubaya wakuu wa matraffick eneo husika na matrafick wenyewe wanajua hili. Hamuamini waletwe maofisa wa makao makuu pale shule kituoni Mbezi Beach (aka shule Tanki Bovu) mkague huku traffick wamesimama mita nne toka kituo cha waendesha pikipiki😍
Jana tumepoteza mweñzetu toka hapo Mbezi kwa ujinga wa dereva na alipokaguliwa hakuwa na docs yoyote kuruhusu kuendesha pikipiki. Nnajua ntaumiza wengi ila sina budi kuponya wengi ili wapone roho zao.
Tunaomba mkuu wa matraffick fuatilia kituo cha Kawe na operation hii wawepo TAKUKURU kusaidia kukamata wale shwtani atawaingia wawachie huru watuhumiwa.
RIP, bro