Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Usijali tutaendelea kuwasitiriMimi ni kolo lakini watani jana mmetustiri sana.
Asanteni kwa uungwana maana mngeamua kuwa serious leo Mangungu angekuwa kashapigwa bakora.
Ball possession, shots on target pass accuracy na conners tulimwachia Makolokolo ISIPOKUWA techniques, tactics, winning mentalities na disciplines ndizo tulitembea nazo Utopolo tukamla Makolokolo 2 - 1 Full Time.Habari
Jana yanga imecheza na simba kama wanaofanya mazoezi,laiti yanga ingeamua kucheza mpira wake wa kila siku aisee aisee kwa makosa walikuwa wanaofanya simba jana simba ingefungwa tena goli 5 na kuendelea,walikuwa wapo wazi sana,sema niungwana na wawazee wa yanga na tunajua ukishazeeka unapiga bao zako 2 tu inaisha.
Simba jaribuni kuishukuru yanga kwa kuwasitiri sana,maana ingekuwa aibu tena kwenu