Jana usiku mapoti wameninyaka nimelala sentro..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
mimi Pancho kama invyojulikana mishe zangu za usiku.. kazi zetu ma dj 's kurudi maghetoni ni usiku sana.. so Jana nimetoka hapo pescana pub maeneo ya uzunguni njiani kama kawaida mapoti na difenda lao wakaninyaka! halafu ndo nilikuwa napanda bodaboda!
nikaskia wanasema "eeh Afande maige iri rijamaa rinatukimbiaga kila siku! sasa reo tumerikamata"..
ukiangalia ilikuwa saa kumi na moja majogoo yanawika!.. halafu huyu Afande maige mnoko sana yaani yeye wenzake huwaga tunakimbizana sana usiku wananikosa! siku nyingine nakamatwa Kama jana!..
nikaona isiwe tabu ngoja nikalale sentro hapo na masela zangu.. asubuhi tukasepa nikarudi maghetoni!.. ila hawa washkaji wamempangia pila Afande maige.. Atafurahi na roho yake!...
 
Wewe utakuwa jobless mzururaji mnatia hasara hela za kodi zetu
 
Kuna siku nilikutana na difenda kama saa nane usiku.
Nikasema hapa nikikimbia tu kazi ninayo.cha kufanya nikakaza.sijakimbia wala kusimama.niliendelea kutembea kawaida tu.wale polisi waliokaa nyuma wakawa wananiangalia tu.
Mpaka tunapishana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh walikuacha mkuu??
 
Pole Pancho sasa kwa nini wamekukamata? hawajui wewe ni dj na shughuli zako za usiku? au huko dom ni marufuku kutembea usiku?
Kama huyu Afande maige ni jeuri yake tuu kuninyaka ila wananijua fresh tuu
 
Back
Top Bottom