Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
mimi Pancho kama invyojulikana mishe zangu za usiku.. kazi zetu ma dj 's kurudi maghetoni ni usiku sana.. so Jana nimetoka hapo pescana pub maeneo ya uzunguni njiani kama kawaida mapoti na difenda lao wakaninyaka! halafu ndo nilikuwa napanda bodaboda!
nikaskia wanasema "eeh Afande maige iri rijamaa rinatukimbiaga kila siku! sasa reo tumerikamata"..
ukiangalia ilikuwa saa kumi na moja majogoo yanawika!.. halafu huyu Afande maige mnoko sana yaani yeye wenzake huwaga tunakimbizana sana usiku wananikosa! siku nyingine nakamatwa Kama jana!..
nikaona isiwe tabu ngoja nikalale sentro hapo na masela zangu.. asubuhi tukasepa nikarudi maghetoni!.. ila hawa washkaji wamempangia pila Afande maige.. Atafurahi na roho yake!...