Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
😀😀😀ila hawa washkaji wamempangia pila Afande maige.. Atafurahi na roho yake!...
Wewe utakuwa jobless mzururaji mnatia hasara hela za kodi zetumimi Pancho kama invyojulikana mishe zangu za usiku.. kazi zetu ma dj 's kurudi maghetoni ni usiku sana.. so Jana nimetoka hapo pescana pub maeneo ya uzunguni njiani kama kawaida mapoti na difenda lao wakaninyaka! halafu ndo nilikuwa napanda bodaboda!
nikaskia wanasema "eeh Afande maige iri rijamaa rinatukimbiaga kila siku! sasa reo tumerikamata"..
ukiangalia ilikuwa saa kumi na moja majogoo yanawika!.. halafu huyu Afande maige mnoko sana yaani yeye wenzake huwaga tunakimbizana sana usiku wananikosa! siku nyingine nakamatwa Kama jana!..
nikaona isiwe tabu ngoja nikalale sentro hapo na masela zangu.. asubuhi tukasepa nikarudi maghetoni!.. ila hawa washkaji wamempangia pila Afande maige.. Atafurahi na roho yake!...
mimi kazi yangu ipo wazi na inajulikana.. sasa tutafanyaje kazi ofisini binadamu wote?? tungeishije??...heshimu kazi ya mwenzako muulize hata mkuu mazigazi..Wewe utakuwa jobless mzururaji mnatia hasara hela za kodi zetu
Aah mkuu sasa hapa nikitaja langu jina itakuwa soo ila mi ni mweupe kidpgo nimesuka rasta nadhani unajua Kati ya hao nani kasuka..We ni Dj White,Dj Kvee au Dj 711?
Kwanini usingemwambia bosi wako Frank Mtei akutoe?
Anyway naitwa k -vee mkuuAah mkuu sasa hapa nikitaja langu jina itakuwa soo ila mi ni mweupe kidpgo nimesuka rasta nadhani unajua Kati ya hao nani kasuka..
Anyway naitwa k -vee mkuu
Anyway naitwa k -vee mkuu
Ni Pestana!
Pescana pub hapo uzunguni dom
Duuh walikuacha mkuu??Kuna siku nilikutana na difenda kama saa nane usiku.
Nikasema hapa nikikimbia tu kazi ninayo.cha kufanya nikakaza.sijakimbia wala kusimama.niliendelea kutembea kawaida tu.wale polisi waliokaa nyuma wakawa wananiangalia tu.
Mpaka tunapishana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyu Afande maige ni jeuri yake tuu kuninyaka ila wananijua fresh tuuPole Pancho sasa kwa nini wamekukamata? hawajui wewe ni dj na shughuli zako za usiku? au huko dom ni marufuku kutembea usiku?
Yap.nilijiamini.Duuh walikuacha mkuu??
acha hizo mkuu ni kweli