Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Hail Mary...Entonces eres creyente, en Santa Maria?
Wewe ni wale wa 'Thaai thathaiya Ngai thaai' 🎃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hail Mary...Entonces eres creyente, en Santa Maria?
Wamejiua hawajui. Kenya lazima watachapa injili.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1206468
Wasomali wamemfuata YESU. huku wakiongozwa ma Roho mtakatifu.
Ng'ombe ni mnyama anayeheshimiwa sana nchini India.Wayahudi pia walitengeneza sanamu la Ng'ombe na kuanza kuliabudu
Wakati Moses alipokuwa akichati na Muñgu
dinna [emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
Basi Mungu wa kristo mnafiki.Njia iendayo jehanam ni pana na waifatayo ni wengi mno Ila njia ya uzima wa milele ni nyembamba na waitumiayo ni wachache .
sina habari kabisa .Ni kweli hii habari ?
Ni kweli hii habari ?
Hakuna sehemu kwenye Kor'aan iliyoandikwa Wanawake wavae Niqab ila vazi la niqab lilikuwepo hata wakati wa Upagani kwa hiyo Baibui Niqaab ni mila za kiarabu zulizoingizwa kwenye Dini
Ushauri wangu ni kwamba tupambane na Arabaization na wasomali wakiweza kuchukua Eneo la Bahari la Afrika ya Mashariki kwa sasa hivi wanapewa Millitary training na Turkey na hiyo pesa ya Mafuta itanunuliwasilaha za kisasa na hatari .
Waarabu watawatumia Wasomali kutangaza Dini ya Kiisilamu ndani ya Afrika Mashariki tutashudia Violante Jihadi ndani ya Ardhi ya Afrika ya Mashariki next Target ni Msumbiji wewnyewe wanaiita Mussa ambeki wanadai lilikuwa Taifa la kiisilamu.
Uhuru Kenyatta anaweza ila tusimuachie peke yake