JIRANI: Hoyaa Devi wakati uko faragha na
mkeo uwe unafunga mapazia, jana usiku
mtaa mzima tulikuwa tunakucheka
ulipokuwa na mkeo
DEVI: Hahahahahaha nyie ndio
mnachekesha, jana wala mie sikuwepo
nyumbani hahahahahahat
Hata hivo siku hizi afadhali sababu angalau kuna cost sharing kuliko zamani watu tuli share resources tu tukasahau gharama,atakuwa aliacha hata mboga au vocha!