Achana nao hao Rage hakukosea kuwaita MbumbumbuTukio lililotokea Jana linafanana kabisa na la leo kwenye mechi ya Simba vs coastal union. Mchezaji wa Coastal union kachezewa faulo ndani ya 18 lakini refa hakufunika tuta. Jana mlipiga kelele humu kwa tukio kama hilo kwa kusema Yanga imebebwa
Kwani wachambuzi hao ndio wanaojua zaidi kiliko wengine wote? Hivi unadhani wewe hahwezi kuwa mchambuzi?Sikiliza uchambuzi na replay ya Azam tv we bwege
Ukiwaendekeza watakuona na wewe wa milembe mwenzao ni wa kuwaacha tu maskini ya Mungu[emoji24]Washabiki wa simba ni wakupuuzwa hawajui lolote
Unadhani hao wachambuzi hawatjmii hisia katika uchambuzi wao?! Hao wanaojiita wachambuzi hapa kwetu ni hovyo kabisa..wanna ushabiki na maswali yao ni ya kijinga Kama siyo ya kipumbavu...baadhi yao ni mawakala wa wachezaji na utawaona na kuwasikia namna wanavyowapamba wachezaji waoWanachumbuzi wanatumia marudio ya video ili kuelezea kanuni ila wewe unapiga domo tupu kwa kutumia hisia zako