Jana washabiki wa Simba walipiga kelele Azam walinyimwa penati je nyie mmebebwa?

Jana washabiki wa Simba walipiga kelele Azam walinyimwa penati je nyie mmebebwa?

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Tukio lililotokea Jana linafanana kabisa na la leo kwenye mechi ya Simba vs coastal union. Mchezaji wa Coastal union kachezewa faulo ndani ya 18 lakini refa hakufunika tuta. Jana mlipiga kelele humu kwa tukio kama hilo kwa kusema Yanga imebebwa
 
Kwani wachambuzi hao ndio wanaojua zaidi kiliko wengine wote? Hivi unadhani wewe hahwezi kuwa mchambuzi?
Wanachumbuzi wanatumia marudio ya video ili kuelezea kanuni ila wewe unapiga domo tupu kwa kutumia hisia zako
 
Dhithi idhi thimba bhana!! Wanapitia kipindi kigumu kweli kweli! 😁😁😁 Yaani mwamuzi akisahau tu kuwapa penati, au kumtoa mchezaji wa timu pinzani kwa kadi nyekundu, ushindi hakuna.
 
Wanachumbuzi wanatumia marudio ya video ili kuelezea kanuni ila wewe unapiga domo tupu kwa kutumia hisia zako
Unadhani hao wachambuzi hawatjmii hisia katika uchambuzi wao?! Hao wanaojiita wachambuzi hapa kwetu ni hovyo kabisa..wanna ushabiki na maswali yao ni ya kijinga Kama siyo ya kipumbavu...baadhi yao ni mawakala wa wachezaji na utawaona na kuwasikia namna wanavyowapamba wachezaji wao
 
Nawasilisha cc Nyamizi
FB_IMG_16326451158139890.jpg
 
Ila wazungu walipaona. Kwa kuwa kwao mpira ni sirias business, wakaona isiwe kesi, wakaruhusu VAR ili timu isifungwe kizembe wakati watu wamewekeza pesa zao za kutosha.

VAR ilipigiwa kelele mwanzoni eti inaharibu ladha ya mpira, wakati si kweli. VAR inaleta haki katika mechi!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom