SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
- Thread starter
- #21
Apikwe, apikike
Jinga kweli, kuna wale walioshindwa na Ndugulile, RIP, mbona hukuwaambie waende huko kwenye matunguli.Mheshimiwa Janabi akishindwa huko WHO aibu inarudi kwetu. Tafadhali apelekwe Mlingotini apikwe kijadi pia. Siku ya kupiga Kura hao wapigaji Kura waone jina lake tu.
Janabi anajua kula tuu, kila siku yeye na chakula tuu. Mara ukiwa na kiuno mara Juice nk. Nani atampa kura?Ndungulile alikuwa na qualifications nzuri na aliuzika vyema, huyu mmmh. Tusubiri
MTU asiyejua kiingerezaIlani ya Chama awe nayo