and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Mwamba apewe;
1. Hadhi ya Ubalozi,
2. Ateuliwe Ubunge [viti maalum],
3. Apewe Uwaziri hata kwa siku chache tu, hili litainua CV yake huko WHO.
**Vinginevyo mchuano ni mkali na kule huwezi kuiba kura.
***Kura zilindwe na Polisi wetu, kisha mshindi atangazwe usiku wa manane.