and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Janabi atapigwa asubuhi na mapemamentality za kijinga kutafuta shortcut umeambiwa WHO wanatafuta wazir au balozi
Kumbuka Janabi ni Profesa mbobezimentality za kijinga kutafuta shortcut umeambiwa WHO wanatafuta wazir au balozi
Huyu tàaluma alishaiacha. Anapiga siasa. Akikosa huko apitishwe kugombea Ubunge jimbo la SpikaNadhani angebaki kama alivyo ili kulinda heshima ya Taaluma yake!