Jane Tu Ze Hat of Jf

Then I guess it's alright. . . .
KARIBU!!!

Asenti bibie! naja tuogelee kama mabata forever!
:bathbaby:
(ulisema hutotoka na mm kama hutoki ctoki)
 
Mimi niliwaza tu kama kwa kipindi chote hiki we bado mwali, haitakuwa mbaya tukikufanyia mpango wa posa atii!
We njoo kichwa kichwa, ule za uso kwa kuvamia wake za watu...!
kawekwa ndani kwa kuwa tayari ashapata wa kumtuliza.
 
We njoo kichwa kichwa, ule za uso kwa kuvamia wake za watu...!
kawekwa ndani kwa kuwa tayari ashapata wa kumtuliza.
Ndio maana toka mwanzo nikamuuliza kama kaposwa, akajibu hajaposwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…