Janeth Rithe ahojiwa kwa saa 5, aendelea kushikiliwa polisi

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252
Licha ya dhamana kuwa wazi kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ameendelea kushikiliwa kituo kikuu cha polisi cha Kanda Maalum ya Dar es Salaam, chama hicho kimesema.

Rithe alijisalimisha Polisi jana Juni 20 baada ya kupokea wito kutoka kwa maofisa wa polisi waliofika makao makuu ya chama hicho Magomeni Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa jana usiku Juni 20, 2025 na Naibu Katibu Mwenezi Taifa wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo imesema Rithe alifanyiwa mahojiano yaliyodumu kwa zaidi ya saa tano.

"Licha ya Polisi kuwaeleza Mawakili wa Ndugu Rithe kuwa dhamana yake ipo wazi, wanaendelea kumshikilia kwa kila wanachosema kuwa wanahitaji kuendelea kumhoji," amesema Ayo.

Pia soma

CCM kama siasa za vyama vingi wamezishindwa. Waufute huu mfumo tubaki na chama kimoja kama China, North Korea na Cuba.
 
Inawezekana pia hiyo ikawa ni namna ya kuwaonyesha kuwa na ACT huwa wanakamatwa na kuonewa lakini bado watashiriki uchaguzi
 
Binafsi naona kama ACT wamepeea maelekezo wafanye drama tu ili kubalance, ionekane siyo wanachadema tu wanaobughudhiwa.

Muwe makini na ACT ndugu zangu watanzania.

acha shobo wewe nzige wa CHadema, KIla aachwe ahubiri siasa zake
 
Halima Mdee alisema matamshi ya kisiasa mengi yatawaletea shida wasiasa(uhaini)kwa hali ya mambo ilivyo sasa.Ndio kama hivi sasa
 
Licha ya dhamana kuwa wazi kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ameendelea kushikiliwa kituo kikuu cha polisi cha Kanda Maalum ya Dar es Salaam, chama hicho kimesema.

Rithe alijisalimisha Polisi jana Juni 20 baada ya kupokea wito kutoka kwa maofisa wa polisi waliofika makao makuu ya chama hicho Magomeni Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa jana usiku Juni 20, 2025 na Naibu Katibu Mwenezi Taifa wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo imesema Rithe alifanyiwa mahojiano yaliyodumu kwa zaidi ya saa tano.

"Licha ya Polisi kuwaeleza Mawakili wa Ndugu Rithe kuwa dhamana yake ipo wazi, wanaendelea kumshikilia kwa kila wanachosema kuwa wanahitaji kuendelea kumhoji," amesema Ayo.

Pia soma
17d44678-882d-46ab-940a-5cb188d7b56e.jpeg
 
..tayari ameonyesha ushirikiano.

..hakuna haja ya kuendelea kumshikilia.

..wanachofanya ni kuwatesa watu wanaowatuhumu.
 
CCM kama siasa za vyama vingi wamezishindwa. Waufute huu mfumo tubaki na chama kimoja kama China, North Korea na Cuba.
Wanaposema No Reforms No Elections, ni nini Hua akieleweki? Labda kama ACT wamekula mchongo na CCM, ili wapewe majimbo -> ruzuku -> ushikiri katika serikali ya Zanzibar.. etc...na hii ni uigizaji, na hivyo wameamua kusindikiza UCHAFUZI... vinginevyo?!!
 
Back
Top Bottom