Licha ya dhamana kuwa wazi kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ameendelea kushikiliwa kituo kikuu cha polisi cha Kanda Maalum ya Dar es Salaam, chama hicho kimesema.
Rithe alijisalimisha Polisi jana Juni 20 baada ya kupokea wito kutoka kwa maofisa wa polisi waliofika makao makuu ya chama hicho Magomeni Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa jana usiku Juni 20, 2025 na Naibu Katibu Mwenezi Taifa wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo imesema Rithe alifanyiwa mahojiano yaliyodumu kwa zaidi ya saa tano.
"Licha ya Polisi kuwaeleza Mawakili wa Ndugu Rithe kuwa dhamana yake ipo wazi, wanaendelea kumshikilia kwa kila wanachosema kuwa wanahitaji kuendelea kumhoji," amesema Ayo.
Binafsi naona kama ACT wamepeea maelekezo wafanye drama tu ili kubalance, ionekane siyo wanachadema tu wanaobughudhiwa.
Muwe makini na ACT ndugu zangu watanzania.
Licha ya dhamana kuwa wazi kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ameendelea kushikiliwa kituo kikuu cha polisi cha Kanda Maalum ya Dar es Salaam, chama hicho kimesema.
Rithe alijisalimisha Polisi jana Juni 20 baada ya kupokea wito kutoka kwa maofisa wa polisi waliofika makao makuu ya chama hicho Magomeni Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa jana usiku Juni 20, 2025 na Naibu Katibu Mwenezi Taifa wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo imesema Rithe alifanyiwa mahojiano yaliyodumu kwa zaidi ya saa tano.
"Licha ya Polisi kuwaeleza Mawakili wa Ndugu Rithe kuwa dhamana yake ipo wazi, wanaendelea kumshikilia kwa kila wanachosema kuwa wanahitaji kuendelea kumhoji," amesema Ayo.
Pia soma

Wanaposema No Reforms No Elections, ni nini Hua akieleweki? Labda kama ACT wamekula mchongo na CCM, ili wapewe majimbo -> ruzuku -> ushikiri katika serikali ya Zanzibar.. etc...na hii ni uigizaji, na hivyo wameamua kusindikiza UCHAFUZI... vinginevyo?!!CCM kama siasa za vyama vingi wamezishindwa. Waufute huu mfumo tubaki na chama kimoja kama China, North Korea na Cuba.