Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Habari wana JF, nimewaletea mrejesho wa tangia pale nilipoamua kuacha hii kitu tar 14 Oct hadi asubuhi ya leo hii tar 18 Oct
Sijui nianzie wapi, lakini kiufupi nimeona ni kama kuna kitu kinapungua kwenye maisha yangu ya kila siku, sio kwamba labda nilizidiwa kiviile, hapana! Yaani nilijikuta tu ni wajibu ambao nilitakiwa niukamilishe, hivyo kiganja changu kikanisaliti kwa mara nyingine
Mikakati niliyoiweka ikaniwezesha kupambana na janga hili kwa siku hizo tatu na nusu
Nikihakikisha nafanya mazoezi kama kuruka kamba na push up kwa wingi. Nilihakikisha sikai magetoni mpaka pale nipate usingizi wa kufa mtu. Kwenye suala la movie mara moja moja nilihakikisha natazama movie za kipemba za wakina dada wanaojistiri na mabaibui ili nisipatwe na tamaa. Pia nyakati za jioni nikiwa natoka mapambanoni nilisimama kando ya vituo vya daladala nikiwatazama wanawake waliopendeza nikajisemea kimoyomoyo "hawa wameumbwa kwa ajili yangu, na wapo hapo kuusubiri ududu wangu kwa hamu kubwa sana, na hawawezi pasi na mimi". Pia nilihakikisha nalala huku nimevaa boksa mbili na suruali la jinzi nililovalia mkanda, mikono yangu nikiipaka pilipili ya kutosha
Asubuhi ya leo mambo yakabadilika ghafla
Wakati natoka zangu kunawa uso, nikakutana na mdada nje anaswaki akiwa kainama, ile pichu ikawa imejichora, imekaa mahala pake kulistiri trako lake pana, nikaduwaa nikamwambia Habari Yako Mtoto Mzuri, akajibu Poa, nimekaa naduwaa kama dakika 2, alivyogeuka tena akanikuta, akatabasamu, nikaingia ndani, ghafla ududu ukaja juu kwa kasi, nikajaribu kujizuia niwezavyo, cha ajabu nikajikuta nimelala kitandani huku nikijipongeza kwa kuumaliza mwendo, kiganja changu kikiwa na misabuni ya kutosha
=================

Ni kweli mkuu, hii safari ni yetu sote, tumeumbiwa iwe sehemu ya maisha, hakuna namna ya kuikwepaSisi ni watu wazima wenzio ebu acha uongo nani kakwambia inaachwa hiyo? Chaputa ni km spea tire kwny gari how come utembee umbali mrefu bila spea tire
Nimemaliza likizo yangu ya siku tatu kiongoziSiku ya tatu,tatu.....
U r not serious....
Ungesema miezi mitatu ningekupongeza kwa kupiga hatua....
....... lakin siku ya tatu....tatu
....... shetan kakupa likizo tu
Haswaa, hapa nataka kuja na mpango mkakati wa kutafuta wadada wawili wa uhakika, hasahasa mahausi gero ndo hawanaga shida, kisha niache mazima ikiwezekanaHuwez kuacha puchu kma hauna mwanamke wa uhakika
Hofu ya kuwa single ndo ilinifanya nijaribu kuacha, ila nimeshindwa tena mkuu, hata hivyo ni hatua kubwa niliyoipiga, siku tatu si mchezoChaputa ngumu kutoka,
Binafsi nimekuja na mpango mkakati wa kutoka mazima hili chama, unaweza kaa single muda mrefu kuliko kawaida
Nimerudi mkuu...Hii kitu kuacha atleast uwe una uhakika wa punani kila unapojihisi hamu ila kama si hivyo mleta mada utarudi huko baada ya week tu.
Ni zaidi ya madawa ya kulevya mkuuChaputa ni madawa ya kulevya we jamaa ata uwe na mademu 100 kuna ck tu utabutua
Dah! Acha tu nibaki gizani mkuuUkikaza miezi 3 Nuru itarudi
Nimemaliza likizo, ama kweli, shetani yuko kaziniHapana napinga kwa nguvu zote tena nakanusha vikali sana, hiyo umepumzika tu maana hata mzee yusuphu alitangazia Uma kuwa kaacha kuimba taarabu ila kiko wapi kwa hiyo wewe ni suala la muda tu