Janga la Corona : CAF yaifuta Mechi ya Namungo huko Angola

Janga la Corona : CAF yaifuta Mechi ya Namungo huko Angola

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka CAF kutokana na sakata la wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa Namungo kukutwa na corona

Tusubiri taarifa zaidi kutoka CAF ambalo ndio shirikisho linalosimamia soka barani Africa

24DFAF4A-8972-4093-A456-2A1BC80DAAD5.jpeg
 
Wakubali kukaa karantini hizo siku ili gemu ipigwe hakuna namna ukizingatia wapo kwenye ko stage na ratiba haiwasubiri, vinginevyo angola watapewa point za mezani. Aibu kwa nchi
 
Wakubali kukaa karantini hizo siku ili gemu ipigwe hakuna namna ukizingatia wapo kwenye ko stage na ratiba haiwasubiri, vinginevyo angola watapewa point za mezani. Aibu kwa nchi

Timu si inashikiliwa na jeshi? Mimi naona kuna siasa za kishamba za mpira wala sio suala la corona, kwani mechi zote za caf zimezuiwa au ushamba tu wa Angola?
 
Uongozi wa simba na tff uje na mpango wa kukabiliana na covid. Njia pekee ni kujitenga wiki 2 kabla ya mechi za kimataifa iwe tz au ugenini vinginevyo yatatukuta ya namungo, hatujui hao namungo wameutoa wapi covid huwenda ikawa wakati wanacheza vpl.

Utaratibu wa kupima covid ni lazima uwepo siku 2au 3 kabla ya kucheza mechi yoyote hapa tz tukileta ubabe wa kukiuka covid protocols fifa na caf watatufungia
 
Timu si inashikiliwa na jeshi? Mimi naona kuna siasa za kishamba za mpira wala sio suala la corona, kwani mechi zote za caf zimezuiwa au ushamba tu wa Angola?
Hakuna siasa hapo, kama hatuamini vipimo vyao tuwapime tena na kupeleka sample maabara huru popote duniani ili tujue mbivu na mbichi, kama majibu yatakuwa negative basi angola watakutana na adhabu kali ya caf na fifa na jumuia ya kimataifa kwa hujuma hizi.

Kama majibu yatatoka positive basi Tanzania tumekula hasara tena kubwa na kuwekwa kundi la kutokuaminika kwa hizi covid tests zetu
 
Hakuna siasa hapo, kama hatuamini vipimo vyao tuwapime tena na kupeleka sample maabara huru popote duniani ili tujue mbivu na mbichi, kama majibu yatakuwa negative basi angola watakutana na adhabu kali ya caf na fifa na jumuia ya kimataifa kwa hujuma hizi. Kama majibu yatatoka positive basi tz tumekula hasara tena kubwa na kuwekwa kundi la kutokuaminika kwa hizi covid tests zetu

Mimi sikati vipimo na wala sibishi vipimo, unakumbuka FC PLATINUM walivyokuja hapa bongo ni wachezaj wao wangapi walikutwa na COVID? JESHI ILIWASHIKILIA AU NINI KILIFANYIKA?
 
Hili swala CAF watalipeleka kwa wajuzi wao wa utabibu kupata ushauri na jibu litakuwa rahisi sana, Bongo land hawafuati mwongozo wowote wa Who wao wanaamini shirki kwa kupiga Nyungu full stop. Namungo out
 
Mimi sikati vipimo na wala sibishi vipimo, unakumbuka FC PLATINUM walivyokuja hapa bongo ni wachezaj wao wangapi walikutwa na COVID? JESHI ILIWASHIKILIA AU NINI KILIFANYIKA?
Huwenda jeshi ni kituo/karantini iliyotengwa kuwaweka suspects wa covid kama ambavyo tz tulivyoweka baadhi ya hotel, hospital na vyuo (udsm) na si kwamba wamewekwa kama wahalifu
 
Caf ilishatoa mwongozo ndio maana ikaruhusu wachezaji 40 kusajiliwa, kigezo cha wachezaji 3 kukutwa na corona sio sababu ya kuahirisha mechi
England match nyingi zimeahirishwa muda mfupi tu kabla ya match. Tottenham vs.. masaa 3 kabla ya match, derby vs .. kama mmoja amekutwa nao basi hao wengine huwenda wameupata ila virus ametulia in inactive mode
 
Huwenda jeshi ni kituo/karantini iliyotengwa kuwaweka suspects wa covid kama ambavyo tz tulivyoweka baadhi ya hotel, hospital na vyuo (udsm) na si kwamba wamewekwa kama wahalifu

We jamaa naona unaleta ubishi tu mimi nakuambia Angola wamefanya utoto wa kijinga, kwani wachezaji wangapi wanakutwa na COVID hatua zichuliwazo ndio hizo??
 
Back
Top Bottom