Sheria inaweza kutumika vibaya kufanyia fitna, ndio maana hadi CAF wamekubali mechi ihairishwe kwa sababu wameona kilichofanyika ni fitna. Tufanye tumekubali wachezaji 3 wa Namungo wapo + Covid, je ni kwa nini wamelazimisha timu nzima iende quarantine tena ndani ya kambi ya jeshi kwa shurti huku abiria wengine waliofika nao kwenye ndege wameruhusiwa kuendelea na shughuli zao?
Rapid PCR test accuracy yake ni ndogo pia inatumia kama dk 15 kutoa majibu, hauwezi toa majibu ya timu nzima ndani ya dk moja, kutokana na maelezo ya Namungo majibu ya timu nzima yalitoka hapo hapo ndani ya dk kitu kinacho onyesha ilikuwa pre planned move.