Wachezaji wa5 wa FC Platnum walikutwa +ve, wakatengwa na the rest wakacheza mechi,
Cr7 alikutwa +ve lakn timu nzima ya Juve haikuwekwa karantini, pía Dybala alishakutwa nao akaishia kumiss game na waliobaki walicheza mechi
Hata epl mchezaji akikutwa +ve basi atatengwa kwa siku 10
Someni na muelewe miongozo ya CAF juu ya hili swala, directives zipo very clear ndio maana wakaruhusu timu kusajili wachezaji mpaka kufikia 40
Kama nchi yako ina utaratibu wa tofauti juu ya case za covid basi FA ya nchi husika inatakiwa iiwasilishe CAF kwa lengo la kuweka mambo sawa, lakn sio kufanya mambo ya kuviziana,,, yaani unamsubiri mpinzani keshafika kwako kisha ndipo unambadilishia utaratibu tofauti na ule aliofahamishwa hapo awali
Soma hata hii miongozo ya wenzetu epl uone:
See the results from the two rounds of COVID-19 testing between 17 and 23 May
www.premierleague.com