Janga la Corona : CAF yaifuta Mechi ya Namungo huko Angola

Janga la Corona : CAF yaifuta Mechi ya Namungo huko Angola

Sheria inaweza kutumika vibaya kufanyia fitna, ndio maana hadi CAF wamekubali mechi ihairishwe kwa sababu wameona kilichofanyika ni fitna. Tufanye tumekubali wachezaji 3 wa Namungo wapo + Covid, je ni kwa nini wamelazimisha timu nzima iende quarantine tena ndani ya kambi ya jeshi kwa shurti huku abiria wengine waliofika nao kwenye ndege wameruhusiwa kuendelea na shughuli zao?

Rapid PCR test accuracy yake ni ndogo pia inatumia kama dk 15 kutoa majibu, hauwezi toa majibu ya timu nzima ndani ya dk moja, kutokana na maelezo ya Namungo majibu ya timu nzima yalitoka hapo hapo ndani ya dk kitu kinacho onyesha ilikuwa pre planned move.
tatizo inaweza kua maelezo wanayotoa Namungo either yana ukweli au wameongeza chumvi kutafta huruma hapo ndio shida ina anzia
 
Rudi jukwaa la siasa, hujui mpira na hujui kinachoendelea kwenye mpira. Taarifa ya kwanza kutoka ambayo ilikuwa na maelezo yote ni mahojiani ya Rais wa Namungo na mwandishi wa bongo, hiyo clip ndio imetoa taarifa iliyofanyiwa kazi na Serikali ( PM) na TFF. Au ulidhani Majaliwa na TFF wameota tu Namungo wapo ndani ya kambi ya jeshi?

Bado hujajibu swali kwa nini flight nzima wamewekwa quarantine msafara wa Namungo tu huku watu wengine wakiruhusiwa kuendelea, kwa nini kama wapo neg wawekwe quarantine tena chini ya mitutu ya jeshi? Rudi jukwaa la siasa ukapige porojo hujui mpira na hujui siasa za mpira wa Africa.
Mkuu swala la mitutu nchi za wengine ni kawaida sio kama wanawatisha, huko wenzetu usalama ni hafifu mfano Cameron, Angora, Congo, Uganda Sudan mitutu hadharani labda Kama wametishihwa hapo kuna shida
 
Ukute hawakupimwa huku
Na ndio hasa lililotokea. Unajua bado tuna ujinga wa kuamonishwa kuwa Mungu ametuponya (kwa vile anatupenda zaidi ya dunia nzima chini ya Magu) hivyo hakuna tahadhari hakuna kupimana.
Na sasa hivi dunia nzima inafahamu kiburi cha kiongozi wetu, na tutakomolewa hivi kimya kimya hadi tunyooke!
Duniani kiburi wanaweza wale wakubwa sio masikini kama sie, na kiburi chao sio cha kijinga kama chetu
 
Aiseeee !!
 
Hawa ni nyumbu tena wa serengeti,
Kazi kubwa waliyonayo ni kuiombea nchi mabaya.
Wewe drs la saba. Ni hivi Sisi waTz ndiyo tuna matatizo. Tunaamini kuwa hatuna Corona wakati ukweli ni kuwa Corona ipo na inakula vichwa kila uchwao .

Hatutaki hata kupima watu kwa imani za kunifukiza na maombi . Maabara yetu tuliicrash mpaka mkurugenzi wake akasimamishwa kazi kwa madai ya kutumika na mabeberu . Tunaenda kwa matakwa ya kisiasa badala ya kitaalamu
 
Timu si inashikiliwa na jeshi? Mimi naona kuna siasa za kishamba za mpira wala sio suala la corona, kwani mechi zote za caf zimezuiwa au ushamba tu wa Angola?
Nchi yenu ndiyo ya Kishamba kujifanya haina Corona...waka Dunia inapambana na Korona...

Tanzania itavuna inachopanda... Huu ni mwanza tu..[emoji847]
 
Wakubali kukaa karantini hizo siku ili gemu ipigwe hakuna namna ukizingatia wapo kwenye ko stage na ratiba haiwasubiri, vinginevyo angola watapewa point za mezani. Aibu kwa nchi
Mkuu, jitahidi uujue mpira na taratibu zake.
Usilete mambo ya hisia zako wakati tayari kuna miongozo ilishawekwa na CAF

CAF walishaweka utaratibu kuwa endapo wachezaji wakikutwa na corona basi mechi isiahirishwe kwakuwa walio negative wana uwezo wa kucheza, ndio maana mwezi January walifanya mabadiliko kwa kuruhusu idadi ya wachezaji ifike mpaka 40 kwa timu ktk usajili

CAF wameifuta mechi si kwasbb ya wachezaji kukutwa +ve bali ni fitna zilizofanywa na Serikali ya Angola kwa kutaka kuwaweka karantini timu nzima ilhali ni wachezaji watatu ndio wamekutwa na virusi
 
Swala la covid lipo chini ya sheria za nchi, caf wametoa ushauri tu
 
Mkuu, kama wachezaji watatu wamekutwa postive kuna uwezekano hata the rest wapo + Pia sababu walikua pamoja
 
Shida akili zenu zimeshaharibika kila kitu mmezoea ujanja ujanja tu kwa hiyo mnadhani kila Nchi wana ujinga ujinga kama wenu, watu wamekutwa na corona utaratibu ni kujitenga na wote waliokuwa karibu nao. Aliyekwambia wengine waliruhusiwa ni nani, kwa hiyo Rais uchwara wa Namungo akisema kitu na wewe Zuzu unakimeza kizimakizima ila mamlaka ya Angola ikisema wewe Zuzu unaona ni figisu. Pumbafu kabisa wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msamehe bure mkuu, jamaa argument zake znachekesha sana
 
Swala la covid lipo chini ya sheria za nchi, caf wametoa ushauri tu
Ni kweli kila nchi ina taratibu zake, lakn kwa kawaida inatakiwa chama cha soka cha nchi husika kuwasilisha utaratibu wa nchi yake kwa CAF ili hawa CAF waweke fixture vizuri

Kwa mfano mechi kati ya Wydad vs Kaizer Chiefs ilivyofutwa , ni kuwa FA ya Morocco ilituma taarifa kwa CAF kuwa nchi yao imeweka zuio la watu kuingia Morocco,, hvyo CAF wafanye utaratibu mwngne hii mechi ichezwe nchi nyingne, na pía taarifa hii ilitumwa kwenda South África siku mbili kabla Kaizer hajaanza safari kwenda Morocco

Kwahyo kwa mazingira hayo unaona kabisa namna ambavyo waMorocco wamereact kiustaarabu na kuzingatia taratibu za CAF na za nchi juu ya hili swala

Lakn kwa case ya Namungo imekuwa tofauti, waAngola wamevizia Namungo wamekwishaingia nchini mwao kisha ndio wakataka kuwaweka karantini ilhali ni kinyume na maagizo waliyokubaliana na CAF,,,, CAF wametoa mwongozo kwahyo kama nchi yako inamuongozo unao kinzana na wa CAF basi inabidi uuwasilishe mapema kwa CAF na kwa timu pinzani lakn sio kwa kufanya mambo ya kuviziana
 
Mkuu, kama wachezaji watatu wamekutwa postive kuna uwezekano hata the rest wapo + Pia sababu walikua pamoja
Wachezaji wa5 wa FC Platnum walikutwa +ve, wakatengwa na the rest wakacheza mechi,

Cr7 alikutwa +ve lakn timu nzima ya Juve haikuwekwa karantini, pía Dybala alishakutwa nao akaishia kumiss game na waliobaki walicheza mechi

Hata epl mchezaji akikutwa +ve basi atatengwa kwa siku 10

Someni na muelewe miongozo ya CAF juu ya hili swala, directives zipo very clear ndio maana wakaruhusu timu kusajili wachezaji mpaka kufikia 40
Kama nchi yako ina utaratibu wa tofauti juu ya case za covid basi FA ya nchi husika inatakiwa iiwasilishe CAF kwa lengo la kuweka mambo sawa, lakn sio kufanya mambo ya kuviziana,,, yaani unamsubiri mpinzani keshafika kwako kisha ndipo unambadilishia utaratibu tofauti na ule aliofahamishwa hapo awali

Soma hata hii miongozo ya wenzetu epl uone:

Hili ni swala la wafia lockdown vs JPM .. halina uhusiano wowote na Kinachoendelea au kilichojiri Angola.

Simple.
 
Back
Top Bottom