Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wakubali kukaa karantini hizo siku ili gemu ipigwe hakuna namna ukizingatia wapo kwenye ko stage na ratiba haiwasubiri, vinginevyo angola watapewa point za mezani. Aibu kwa nchi
Siku wakija hapa nchini hio timu ya Angola itapokelewa pale Lugalo.Timu si inashikiliwa na jeshi? Mimi naona kuna siasa za kishamba za mpira wala sio suala la corona, kwani mechi zote za caf zimezuiwa au ushamba tu wa Angola?
Hakuna siasa hapo, kama hatuamini vipimo vyao tuwapime tena na kupeleka sample maabara huru popote duniani ili tujue mbivu na mbichi, kama majibu yatakuwa negative basi angola watakutana na adhabu kali ya caf na fifa na jumuia ya kimataifa kwa hujuma hizi.Timu si inashikiliwa na jeshi? Mimi naona kuna siasa za kishamba za mpira wala sio suala la corona, kwani mechi zote za caf zimezuiwa au ushamba tu wa Angola?
Hakuna siasa hapo, kama hatuamini vipimo vyao tuwapime tena na kupeleka sample maabara huru popote duniani ili tujue mbivu na mbichi, kama majibu yatakuwa negative basi angola watakutana na adhabu kali ya caf na fifa na jumuia ya kimataifa kwa hujuma hizi. Kama majibu yatatoka positive basi tz tumekula hasara tena kubwa na kuwekwa kundi la kutokuaminika kwa hizi covid tests zetu
Nao wana familia na zinataka ugali kila siku. Sema kibarua kiote nyasi.Tff bana kwanini wasiseme kweli tu, kwamba baadhi ya wachezaji wa Namungo wamekutwa + na Corona
Bali ni kigezo cha nini?Caf ilishatoa mwongozo ndio maana ikaruhusu wachezaji 40 kusajiliwa, kigezo cha wachezaji 3 kukutwa na corona sio sababu ya kuahirisha mechi
Huwenda jeshi ni kituo/karantini iliyotengwa kuwaweka suspects wa covid kama ambavyo tz tulivyoweka baadhi ya hotel, hospital na vyuo (udsm) na si kwamba wamewekwa kama wahalifuMimi sikati vipimo na wala sibishi vipimo, unakumbuka FC PLATINUM walivyokuja hapa bongo ni wachezaj wao wangapi walikutwa na COVID? JESHI ILIWASHIKILIA AU NINI KILIFANYIKA?
England match nyingi zimeahirishwa muda mfupi tu kabla ya match. Tottenham vs.. masaa 3 kabla ya match, derby vs .. kama mmoja amekutwa nao basi hao wengine huwenda wameupata ila virus ametulia in inactive modeCaf ilishatoa mwongozo ndio maana ikaruhusu wachezaji 40 kusajiliwa, kigezo cha wachezaji 3 kukutwa na corona sio sababu ya kuahirisha mechi
Huwenda jeshi ni kituo/karantini iliyotengwa kuwaweka suspects wa covid kama ambavyo tz tulivyoweka baadhi ya hotel, hospital na vyuo (udsm) na si kwamba wamewekwa kama wahalifu