Janga la Corona limempaisha Rais Magufuli kisiasa

Yani hadi wazungu wenyewe wamechoka Lockdown ujue Mh.Magu aliona mbali......
Tumia akili yako, lock down yao ilikuwa kudhibiti maambukizi huku ufumbuzi wa kudumu ukitafutwa na wamefanikiwa hilo.
Huwezi kulinganisha na sera zenu za nyungu
 
Limempaisha hadi kuwa kiongozi wa malaika huko mawinguni
 
Yani hadi wazungu wenyewe wamechoka Lockdown ujue Mh.Magu aliona mbali......

Wazungu kwako ndio kipimo cha jambo baya au zuri?? Halafu baadae kidogo utasikia “mabeberu”.

Sijui mijitu mingine ina nini huko ndani kwenye fuvu.
 
Tumia akili yako, lock down yao ilikuwa kudhibiti maambukizi huku ufumbuzi wa kudumu ukitafutwa na wamefanikiwa hilo.
Huwezi kulinganisha na sera zenu za nyungu
Mmmmm bado hawajafanikiwa mku unaambiwa hata ukipewa chanjo mashariti ni yale yale ya social distance na mwendo wa barakoa. Maombi kwetu ndo silaa alafu nyungu zinasindikiza.
 
Janga la korona limemtupa jpm kaburini, huu ndio ukweli halisi!
 
Wacha weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…