Wakuu kwema?
Natumai mko salama katika Janga hili hatari lililotukumba la CORONA.
Kabla ya kwenda kwenye mada, ningependa kwanza kutoa uchanganuzi katika suala la gharama Kama nilivyojifunza. "Cost" pamoja migawanyo mingine imegawanyika pia katika makundi mawili ambayo ni "Fixed Costs" na " "Variable Costs".
FIXED COSTS ni zile gharama ambazo kwa namna yoyote ile haziathiriwi na uzalishaji au ufanyaji kazi wa mtu, taasisi au kampuni. Mfano ukipanga Jengo basi gharama ya kodi hua haiangalii wingi au uchache was shughuli unayofanya kwenye Jengo hilo. Fixed Costs zingine ni Kama vile mishahara ya "Permanent Employees".
VARIABLE COSTS ni zile gharama ambazo zenyewe zitaongezeka au kupungua kulingana na kuongezeka au kupungua kwa shughuli za uzalishaji kwa mtu, taasisi au kampuni husika.
Sasa nikirudi kwenye mada, Shule zimefungwa, watoto wako Nyumbani. Kupitia ufungaji huu wa lazima, "VARIABLE COSTS mbali mbali zimepungua kwa shule kama vile BREAKFAST na CHAKULA kwa wanafunzi, MAFUTA ya School Buses, Umeme, etc.
Kwa sasa wazazi wanabeba majukumu ya kuwalisha watoto asubuhi na mchana siku za wiki jukumu ambalo lilikua liwe la shule ambako wazazi walishalipa ada kwa ajili hiyo.
Mchanganuo na Gharama hizi unahusu Shule zile za Binafsi zenye hizo facilities nilizozitaja. Je, hili janga litakapoisha watoto wakarudi shule, serikali haioni kua kuna haja ya kupunguza hii ada ili kumpunguzia mzazi gharama?
Stay Home, Stay Safe.