Paschal uwezo wa kupeleka Madaktari ambao hata wangekuwa wabeba Machela huko Italy tunao sema tu Viongozi wetu wamekosa weledi katika Diplomasia ya hili janga la COVID-19Mkuu Mmteule, hapa utakuwa unaionea bure AU. Africa hatuna uwezo huo.
The only thing AU can do to Italy ni kutoa tuu pole!.
Nchi za Africa hazina madaktari hata wa kuzuia tuu malaria, ndio iwe Corona?.
Ni kufuatia hali halisi ya uwezo wa bara la Africa kukabili majanga, Mungu ndio ametukingia mkono Africa kufanya athari ziwe kidogo ukilinganisha na China na Ulaya.
P
Ha haaaa nouma Sana , sasa kama watu wanaenda udaktari ili wapate ajira unategemea nn sasaNdugu yangu achana na hayo mawazo...Kama we ni muislamu ingia msikitini omba Mwenyezi Mungu atuepushe, Kama we mkristo ingia kanisani omba Mwenyezi Mungu atukinge...Madaktari 30 kila nchi afrika watoke wapi...? Madaktari wenyewe huko afrika wakisikia we una Corona wanatimua...! Acha kbs masihara
Madaktari wana miiko yao mkuu hawawezi kukimbia kazi kamwe kutokana na janga.Ndugu yangu achana na hayo mawazo...Kama we ni muislamu ingia msikitini omba Mwenyezi Mungu atuepushe, Kama we mkristo ingia kanisani omba Mwenyezi Mungu atukinge...Madaktari 30 kila nchi afrika watoke wapi...? Madaktari wenyewe huko afrika wakisikia we una Corona wanatimua...! Acha kbs masihara
Paschal uwezo wa kupeleka Madaktari ambao hata wangekuwa wabeba Machela huko Italy tunao sema tu Viongozi wetu wamekosa weledi katika Diplomasia ya hili janga la COVID-19
Sisi tunasuburi kwa hamu wapone, then tuombe misaada.Najiuliza kwa Sauti, ingekuwaje mamia ya vifo vya COVID - 19 vinavyotokea Italy, Ufaransa, China nk nk vingeikumba Afrika.
?? Umoja wa Ulaya wangekuwa kimya hadi sasa?? Si kweli hata kidogo wenzetu wana moyo wa Upendo na Ubinadamu na Akili ya Kidiplomasia hakika tungepata misaada ya kila namna ikiwemo misaada ya Vifaa tiba na Wataalam kama ilivyotokea wakati wa Vifo vya EBOLA.
Nadiriki kusema kuwa AU mmetufedhehesha Waafrika kwani mmeshindwa kupeleka MADAKTARI 1500 (yaani angalau madaktari 30 kutoka kila nchi Mwananchama) happo ITALY kusaidia huduma za Afya kutokana na Kuzidiwa na Kesi za COVID -19.
Hivi mnadhani ni lini sisi Waafrika tutawasaida hao tunaowatukana Mabeberu kila siku? Hatujachelewa wakati ni sasa tuchukue hatua. Vijana tuko tayari....
mmteule, Mkuu Mmteule, hapa utakuwa unaionea bure AU. Africa hatuna uwezo huo.
The only thing AU can do to Italy ni kutoa tuu pole!.
Nchi za Africa hazina madaktari hata wa kuzuia tuu malaria, ndio iwe Corona?.
Ni kufuatia hali halisi ya uwezo wa bara la Africa kukabili majanga, Mungu ndio ametukingia mkono Africa kufanya athari ziwe kidogo ukilinganisha na China na Ulaya.
P
Huu ndo ukweli halisiIla ninavyowajua wa-Italy ni bora afe kuliko atibiwe na ngozi nyeusi/manyani.