Janga la Hanang: Mama Samia ni Comforter in Chief wa Kiukweli

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Namsikiliza Rais Samia akijiandaa kupokea misaada ya waathirika wa mafuriko ya Hanang. Kwa namna anavyoongea, kweli yeye ni "Comforter in Chief".

Yule mwendazake kwenye tukio la earthquake ya Kagera alisema "Serikali haikuleta tetemeko" na kisha akala fedha za waathirika wa tetemeko.
Screenshot_20231210_121358_Chrome.jpg
 
Namsikiliza Rais Samia akijiandaa kupokea misaada ya waathirika wa mafuriko ya Hanang. Kwa namna anavyoongea, kweli yeye ni "Comforter in Chief".

Yule mwendazake kwenye tukio la earthquake ya Kagera alisema "Serikali haikuleta tetemeko" na kisha akala fedha za waathirika wa tetemeko.View attachment 2838451
Dhuluma haijawahi kumuacha mtu salama
 
Namsikiliza Rais Samia akijiandaa kupokea misaada ya waathirika wa mafuriko ya Hanang. Kwa namna anavyoongea, kweli yeye ni "Comforter in Chief".

Yule mwendazake kwenye tukio la earthquake ya Kagera alisema "Serikali haikuleta tetemeko" na kisha akala fedha za waathirika wa tetemeko.View attachment 2838451
Mashirika yamechanga zaidi ya Tsh 2.0 Billion, basi tuone zikielekezwa moja kwa moja kuboresha miundombinu ya waathirika na siyo kujenga shule za Sekondari kama Magufuli alivyojenga Ihungo secondary
 
Back
Top Bottom