Janga la Hisabati: Tuanzie Hapa

Janga la Hisabati: Tuanzie Hapa

Wizara ya Elimu imelitataja somo la Hisabati kama ni Janga la Taifa

Tuanzie hapa, najua kuna wakali wa hesabu humu Jamii Forum
Tuanzie hapa kutoa msaada wa bure(Tuisheni) ya Hisabati kwa wanafunzi wanaohitaji

Kwa wakali wa hisabati: Tupia topic za hesabu na mafundisho yake, pia tafadhali unapopata muda jibu maswali ya wanafunzi wakiomba kuelewesha zaidi.
Tambua kuna shule zingine wanafunzi wanafika na kukuta hakuna mwalimu wa hesabu.
Kama kuna Khan Academy | Free Online Courses, Lessons & Practice ya bure kwa dunia nzima, na sisi tuwasadie wa kwetu ambao wakati mwingine lugha ya kiingereza inaweza kuwa shida na wanatafuta ufafanuzi zaidi

Mokaze, itakatikiamo, Makanyaga, EllySkyWilly,​


Kwa Mwanafunzi: Uliza Topic, Maswali au ugumu unaokutatiza kwenye hesabu/hisabati
Topic: Shule ya Msingi, Shule ya Sekondari, Shule ya Sekondari(Advance)
Kwanini tulazimishe watu kupata F? Kama mtu haelewi hisabati ndo haelewi. Ukiachana na walimu kukosekana, Tanzania Kuna janga la kulazimisha mambo yasiyo na Tija!! Kila somo Lina umuhimu wake, ila utakuta eti lazima mtu asome hisabu. Lazima masomo Saba na kuendelea. Kwanini tunalazisha vitu visivyo na maana na kutwisha watz mizigo mizito? Hisabu sio janga la taifa bali taifa halijui linataka kuachieve nini kitaaluma wala kimaendeleo. Wizara ya Elimu sijui ata inafanya nini zaidi ya kila posho na mishahara especially Yule waziri asiejua kingereza Wala public speaking. Na huo ndo ukweli!!!
 
Solve the equation for x

5(9-x) /3 +1QUOTE]Soln.

5 (9-x)/3+1 45-5x/3+1 Multiply by 3 to remove fraction
3(45-5x)/3 +(1×3)45-5x+3 48-5×-5X -5X Due to negative (-) sign the < change to > sign
Therefore it will be
-5×/5 >-15/5
X>3 solved

If you need to prove substitute the number that are greater than 3
 

WA-UKENYENGE

Nimefuatilia mkuu kwenye posti posti fulani za Maths na Science...
Mkuu..Hebu panda lile basi la Idukilo, uje haraka kuisaidia ile shule ya middle school ya Ibadakuli... ila usisahau kupitia pale shule ya msingi ya Muhunze pia...

Tangantika

Mkuu...wewe pia ni STEM Champion, watoto wetu wamechoka mno siku hizi
Hamna walimu sayansi na hisabati....Tupia mwanga ukipata muda....
 
Ujumbe;
Wanafunzi wenye mapendo na Sayansi na Hisabati,
Usione aibu kuulizia msaada wa maswali au kuhitaji kujua mada nzima ya Hisabati au Sayansi....
 
Humu jf na watanzania kwa ujumla hawataki mada/topic zenye tija/maana/ umuhimu na Wala kubadili mustakbali was maisha yao. Let's mada za ngono, siasa chafu, na za kulamba nyao za viongozi! Watu wanafurika kuchangia au kuangalia. Tuna taifa la kipumbavu sana . Kwakweli mbuzi wale Mana hamna was kuwazuia
 
Kwanini tulazimishe watu kupata F? Kama mtu haelewi hisabati ndo haelewi. Ukiachana na walimu kukosekana, Tanzania Kuna janga la kulazimisha mambo yasiyo na Tija!! Kila somo Lina umuhimu wake, ila utakuta eti lazima mtu asome hisabu. Lazima masomo Saba na kuendelea. Kwanini tunalazisha vitu visivyo na maana na kutwisha watz mizigo mizito? Hisabu sio janga la taifa bali taifa halijui linataka kuachieve nini kitaaluma wala kimaendeleo. Wizara ya Elimu sijui ata inafanya nini zaidi ya kila posho na mishahara especially Yule waziri asiejua kingereza Wala public speaking. Na huo ndo ukweli!!!

Hii mada inawahusu wanafunzi wanaopenda masomo ya Hisabati au na Sayansi pia, tusitake kujumuisha vitu pamoja au kufikia suluhisho kuwa haiwezekani kuwasaidia wanafunzi wenye kutaka kujua na kupenda kujifundisha.
Kuna shule nyingi tu hazina walimu wa Hisabati na Sayansi,
kwa nini? mimi sio wa kujibu hili ni swali....
Inawezekana kutoa msaada kwa wenye uhitaji kwa kutumia platform ya JF
 
Umetisha mjomba,umepatia live bila chenga
Mtoa swali hauko makini. Ni kweli kapatia lakini je jibu kapata vipi? Kama ulikuwa hujui ni kwamba u kitype 1+6-9÷12×5 kwenye calculator hata ya kwenye simu utapata hiyo 3.25,maana yangu ni kwamba hata asiejua BODMAS (mtego wa swali) kwa kutumia calculator atapata jibu sahihi.
 
Mi nikajua unataka kuweka maswali aliyotuaminisha afande Swila kwamba yote ni sawa.

Anyway mi nifundishwe arithmetic mean, geometric mean, sequence and series.
 
Kwenye mkutano mkuu wa kijiji mwenyekiti wa kijiji aliwasalimia wajumbe wa mkutano habari zenu wajumbe 100 mliofika hapa. Mjumbe mmoja akajibu, hatujafika mia labda waje wengine kama sisi pamoja na nusu yetu sisi na robo yetu sisi pamoja na wewe mwenyewe ndio tutafika mia moja. Je wajumbe wa mkutano walikuwa wangapi?
 
Kwenye mkutano mkuu wa kijiji mwenyekiti wa kijiji aliwasalimia wajumbe wa mkutano habari zenu wajumbe 100 mliofika hapa. Mjumbe mmoja akajibu, hatujafika mia labda waje wengine kama sisi pamoja na nusu yetu sisi na robo yetu sisi pamoja na wewe mwenyewe ndio tutafika mia moja. Je wajumbe wa mkutano walikuwa wangapi?
let x be wajumbe wa mkutano,
then, 2x 1/2x +1/4x + 1=100
8x+2x+x=400 - 4
11x=396
x=36
therefore wajumbe wa mkutano walikuwa 36.
 
FORM 1 Maths
Nitaanza na Secondary Mathematics
Tutanzia mwanzo kabisa, yaani pale unapoingia form 1....."Numbers"
Mnakaribishwa kuchangia hii topic, au kuendeleza kutokea hapa..


Numbers​

Types of Numbers
Integers are whole numbers (both positive and negative, including zero). So they are ..., -2, -1, 0, 1, 2, .... So a negative integer is a negative whole number, such as -3, -10 or -23. Natural numbers are positive integers.

A rational number is a number which can be written as a fraction where numerator and denominator are integers (where the top and bottom of the fraction are whole numbers). For example 1/2, 4, 1.75 (=7/4).

Irrational numbers are numbers which cannot be written as fractions, such as pi and √2. In decimal form these numbers go on forever and the same pattern of digits are not repeated.

Square numbers are numbers which can be obtained by multiplying another number by itself. E.g. 36 is a square number because it is 6 x 6 .

Surds are numbers left written as √n , where n is positive but not a square number. E.g. √2 (see 'surds').
In Mathematics, surds are the values in square root that cannot be further simplified into whole numbers or integers. Surds are irrational numbers. The examples of surds are √2, √3, √5, etc., as these values cannot be further simplified.

Prime numbers are numbers above 1 which cannot be divided by anything (other than 1 and itself) to give an integer. The first 8 prime numbers are: 2, 3, 5, 7, 11, 13, 17, 19.

Real numbers are all the numbers which you will have come across (i.e. all the rational and irrational numbers). All real numbers can be written in decimal form (such as 3.165).

A factor (or divisor) of a number is a number which will divide into your number exactly. So you can divide a number by one of its factors and you won't be left with a remainder. For example, 3 is a factor of 6 because you can divide 6 by 3 and you won't be left with a remainder (you get 2).

Prime Factor Decomposition
An important fact is that any number can be written as the product (multiplication) of prime numbers in one way. For example, 20 = 5 x 2 x 2 . This is the only way of writing 20 as the product of prime numbers. Writing a number in this way is called prime factor decomposition.
Example
Find the prime factor decomposition of 36.
We look at 36 and try to find numbers which we can divide it by. We can see that it divides by 2.
36 = 18 × 2
2 is a prime number, but 18 isn't. So we need to split 18 up into prime numbers. We can also divide 18 by 2.
18 = 9 × 2
and so 36 = 18 × 2 = 9 × 2 × 2
But we haven't finished, because 9 is not a prime number. We know that 9 divides by 3.
9 = 3 x 3.
Hence 36 = 9 × 2 × 2 = 3 × 3 × 2 × 2.
This is the answer, because both 2 and 3 are prime numbers.
Example
a and b are prime numbers, ab3 = 54. Find the values of a and b.
So ab3 is the prime factor decomposition of 54.
54 = 2 × 27 = 2 × 3 × 9 = 2 × 3 × 3 × 3 = 2 × 33
So a = 2 and b = 3.

LCM and HCF
The least (or lowest) common multiple (LCM) of two or more numbers is the smallest number into which they evenly divide. For example, the LCM of 2, 3, 4, 6 and 9 is 36.
The highest common factor (HCF) of two or more numbers is the highest number which will divide into them both. Therefore the HCF of 6 and 9 is 3.

Approximations
If the side of a square field is given as 90m, correct to the nearest 10m:
The smallest value the actual length could be is 85m (since this is the lowest value which, to the nearest 10m, would be rounded up to 90m). The largest value is 95m.
Using inequalities, 85£ length <95.
Sometimes you will be asked the upper and lower bounds of the area. The area will be smallest when the side of the square is 85m. In this case, the area will be 7725m². The largest possible area is 9025m² (when the length of the sides are 95m).

BODMAS (/BIDMAS)
When simplifying an expression such as 3 + 4 × 5 - 4(3 + 2), remember to work it out in the following order: brackets, of (/indices), division, multiplication, addition, subtraction.
So do the thing in the brackets first, then any division, followed by multiplication and so on. The above is: 3 + 20 - 4 × 5 = 3 + 20 - 20 = 3

Source:Revision Maths - Maths GCSE and A-Level Revision
 
Umetisha mjomba,umepatia live bila chenga

Hiyo unaingiza tu kwe calculator hakuna haja ya kuumiza kichwa Labda mwanafunzi ndio anatumia kichwa kucalculate.

Labda ungeomba njia sio jibu,jibu tutakuingizia kwenye mkaluu tu tunakupa jibu lako.
 
Hiyo unaingiza tu kwe calculator hakuna haja ya kuumiza kichwa Labda mwanafunzi ndio anatumia kichwa kucalculate.

Labda ungeomba njia sio jibu,jibu tutakuingizia kwenye mkaluu tu tunakupa jibu lako.
Tuingizie hii kwenye mkaluu utupe jibu......

1645055433201.png
 
let x be wajumbe wa mkutano,
then, 2x 1/2x +1/4x + 1=100
8x+2x+x=400
11x=400
x=36
therefore wajumbe wa mkutano walikuwa 36.
Safi sana umepatia jibu mkuu ila kwenye njia kidogo sijakuelewa hasa hapo uliposema 11× = 400 hapa ukitafuta thamani ya x haiji 36 sijui ulipataje mkuu.
 
Back
Top Bottom